Kaanzishe thread tuje tujadili.Me naona tungejadili ule mkanganyiko wa TFF na ZFA ni nani anakuwa responsible kwa hilo la viongozi wa ZFA kupelekana mahakamani kinyume cha sheria za FIFA na si ku-rely kwa kukosea Nape kirefu cha TFF.
Kwa hiyo hapa ndo unamwambia Nape amekosea?Hii ndio shida ya kutokutumia utashi wa kawaida wa binadamu kufikiri ,ni wapi niliposema sijawahi kukosea kwenye maisha ?? Kukosea ni jambo moja ila kukaa kimya kwa makosa yaliyofanyika ni jambo lingine , wewe utajuaje umekosea kama usipo ambiwa ????
Huwezi kupiga hatua ya maendeleo mbele wakati kitu kidogo kama hicho kimemshindaHaijalishi hiyo ni kosa dogo.. Tutazame maendeleo na mafanikio mbeleni...!!
Je alivyosema bunge litarekodiwa na halitarushwa tena 'live' hiyo hujaona kama ni mada ya kujadili?Sasa ndo utaona ni kwann hii nchi inachelewa kuendelea yani Nape kakosea kirefu cha TFF basi imekuwa ni hoja kubwa kweli kweli na watu wametoa macho kujadili...makosa madogo kama haya kila mtu anaweza kufanya kwa wakati fulani wala siyo jambo la kustaajabisha ila kwakuwa hatuna cha kufanya watz tumeheuga hii ndo mada yakujadili..!!
Hasa kwa nape; siyo ajabu kabisa! mimi sishangai hata kidogo; wengi wetu tuna uzoefu na uwezo wake!Sio ajabu kutojua hilo yeye hakuwahi kuwa waziri wa michezo ana mambo mengi mengine ya chama chake familia yake hivo ni kawaida sana
Waziri asiyejua kirefu cha TFF lazima AAGIZE TV zizime LIVE coverage!
Hii inaweza kuwa hoja, lakini si hiyo ya kirefu cha TFF. Mbona bosi wake mwenyewe kwenye kampeni alishindwa kabisa kutamka EFD kwa kifupi na kirefu !?Hata hajui vyombo vilivyopo chini ya muungano
Yes he is hopeless lakini hamshindi Lowassa,niamini mimiNAPE is a hopeless fellow!