chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,421
- 4,458
naona wewe ni mdogo wake mulugo nape amekosea au hajui utaongozaje kitu ambacho hata tafsiri yake hujuiSasa ndo utaona ni kwann hii nchi inachelewa kuendelea yani Nape kakosea kirefu cha TFF basi imekuwa ni hoja kubwa kweli kweli na watu wametoa macho kujadili...makosa madogo kama haya kila mtu anaweza kufanya kwa wakati fulani wala siyo jambo la kustaajabisha ila kwakuwa hatuna cha kufanya watz tumeheuga hii ndo mada yakujadili..!!