Waziri Nape Nnauye hajui maana ya TFF

Waziri Nape Nnauye hajui maana ya TFF

Hakuna naibu waziri kwenye wizara anayoongoza? Lilikuwa swali la msingi au nyongeza?
 
Nimemuona alivyokuwa anajibu. Kusema ukweli pamoja na kushindwa kujua nini ni TFF (taasisi ambayo ni kubwa ndani ya wizara yake) pia majibu yake hayakuwa na mpangilio kama Waziri kamili wa serikali. Nimejisikia aibu sana kuwa na waziri wa aina hiyo.
Na kama hii ndio aina ya Mawaziri alionao Magufuli sioni shida kusema lazima atakwama kabisa mbele ya safari maana itabidi mambo mengine Rais mwenyewe awe anaingilia kuweka sawa.
 
Ninavyo mtazama rais Magufuli sio mshabiki sana michezo (sina hakika sanaa zingine kama music, maigizo nk ambazo bado zipo chini ya Nape) so ningemshauri Nape kama bado yupo kwenye list ya watu anao wakubali basi ampeleke wizara nyingine ambayo yeye kama Magufuli atakua anaichungulia mara moja moja but kwa wizara hi na rais sio shabiki wa mambo hayo is like ipo peke yake, may be PM kama ni shabiki wa mambo ya michezo basi awe anampa company otherwise sioni kama kuna mtu pale, Nape kwa muda mrefu kazoea mipasho ya kisiasa kama kumwita Dr. Slaa babu (Huku akijua umri wa Dr. Slaa na mzee Moses Nnauye ni mkubwa kuliko wake) Nape ndio muasisi na ni yeye pia aliyesema kwamba Dr. Slaa ana kadi ya chama cha mapinduzi (akijua udhaifu wa Watanzania wengi kufana reasoning) na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana but kwenye mambo yanayotakiwa kutumia akili kubwa, Nape sina hakika kama anao uwezo huo.
 
Kweli kabisa mkuu na mawaziri wa namna hiyo ndiyo wengi sana kwenye hili baraza
 
alafu kajibu kiuwakika kabsa hatawas hana_--hajui alitendalo....
 
Nimemuona alivyokuwa anajibu. Kusema ukweli pamoja na kushindwa kujua nini ni TFF (taasisi ambayo ni kubwa ndani ya wizara yake) pia majibu yake hayakuwa na mpangilio kama Waziri kamili wa serikali. Nimejisikia aibu sana kuwa na waziri wa aina hiyo.
Na kama hii ndio aina ya Mawaziri alionao Magufuli sioni shida kusema lazima atakwama kabisa mbele ya safari maana itabidi mambo mengine Rais mwenyewe awe anaingilia kuweka sawa.
Nilishawahi kusema kuwa napata shida kutamka Waziri Nape , bado niko sahihi kwenye hilo
 
Ninavyo mtazama rais Magufuli sio mshabiki sana michezo (sina hakika sanaa zingine kama music, maigizo nk ambazo bado zipo chini ya Nape) so ningemshauri Nape kama bado yupo kwenye list ya watu anao wakubali basi ampeleke wizara nyingine ambayo yeye kama Magufuli atakua anaichungulia mara moja moja but kwa wizara hi na rais sio shabiki wa mambo hayo is like ipo peke yake, may be PM kama ni shabiki wa mambo ya michezo basi awe anampa company otherwise sioni kama kuna mtu pale, Nape kwa muda mrefu kazoea mipasho ya kisiasa kama kumwita Dr. Slaa babu (Huku akijua umri wa Dr. Slaa na mzee Moses Nnauye ni mkubwa kuliko wake) Nape ndio muasisi na ni yeye pia aliyesema kwamba Dr. Slaa ana kadi ya chama cha mapinduzi (akijua udhaifu wa Watanzania wengi kufana reasoning) na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana but kwenye mambo yanayotakiwa kutumia akili kubwa, Nape sina hakika kama anao uwezo huo.
Uwezo wa nape kwenye kuongoza kwa kutumia akili ni 0
 
Tuliposema Nape abaki kwenye chama tu ,kuna watu hawakutuelewa kabisa ,nappe hakustahili kuwa waziri wa wizara yyte hata unaibu tu hakufaa huyo
Kazoea ile ccm mbele kwa mbeleeee
 
Sio ajabu kutojua hilo yeye hakuwahi kuwa waziri wa michezo ana mambo mengi mengine ya chama chake familia yake hivo ni kawaida sana
Kumbe mimi ninayejua maana ya TFF nishawahi kuwa waziri wa michezo na sina mambo ya chama wala ya familia yangu!

Nimekuelewa mkuu.
 
j
Nape ameshindwa kutaja kirefu cha TFF na kuita kuwa ni TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION na kusababisha muuliza swali na bunge zima kulipuka kwa kumzomea, hii ni aibu kwa waziri kushindwa kujua idara anazozisimamia na ndio sasa tunaanza kuona matunda ya Nape.

Jamani tuache critisism ambazo hazina maana sana. This is an oversight ambayo mtu yeyote anaweza kuwa nayo! Hata kama ana weakness zake nyingine kitu kama hicho si cha kuanzisha toipic huku ndani
 
Back
Top Bottom