Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Umechangia kwa ustadi wa hali ya juu sana.
Ila huyo uliye muelimisha nadhani ametoka kapa maana tayari ana majibu yake kichwani tayari.
Ila huyo uliye muelimisha nadhani ametoka kapa maana tayari ana majibu yake kichwani tayari.
Sijaelewa kupaniki kwako kuna maana gani. Kama tulivyo huru na wao wako huru. Sisi tulisema kwetu hakuna corona na wao wameendelea kuonesha kwao ipo na maamuzi yao na yetu yameheshimiwa.
Tusichojua sisi ni kuwa corona katika anga za kimataifa ni tofauati kabisa. Njia za kupambana nayo ni tofauti na za nyumbani. Wakati hatuko katika list ya Kenya, tuko kwenye list ya UAE ikitutaka kufanye sawa sawa na inavotaka Kenya kwa mataifa 11 ya kwanza!! Tunatakiwa kupimwa ndani ya masaa 96 na tukifika Dubai pia tunapimwa kuthibitisha. Hii ndio itakuwa hali ya huko duniani. Wanatuchukulia kama tumezembea katika vita na corona!!
Tusibaki kulaumu!! Tuchukue hatua za kujiandaa kupima wasafiri wa kuja ndani na kwenda nje!! Ili tusiambukize au kuambukizwa!! Swala hili sio Kenya tu, ndio safari za kimataifa zitakavikuwa. Unafahamu chochote kuhusu cheti cha chanjo ya homa ya manjano???