Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,956
- 6,335
Ukiwa very negative na kwako, pengine bila kuujua ukweli, hiyo complex inakuwa kwako.Tit for tat is a failure in diplomacy
Mbona kuna nchi za Mabara mengine zimezuia Watanzania kwenda nchi hizo kwa sasa, lakini sisi hatujazuia watu wao kuja?
Tatizo tuna inferiority complex. Diplomasia yetu dhaifu!
Kama kuna wizara inaweza kujiamulia tu mambo ya kimataifa bila kushirikisha macho na masikio yake, basi ni ya kufutilia mbali na viongozi wa wizara husika kuwekwa kizuizini kwa uhaini.
Nchi yenye janga la corona, unayoizuia kuingia nchini kwako, wewe unaendaje kwenye nchi hiyo?
TZ ikiwaamsha walio wengi kuhusu hiyo project ya corona, faida iliyokadiriwa kupigwa na wakubwa itakuwa mashakani, Kenya inatumika sasa kutuzima na pengine sababu ya sisi kuvurugwa mazima.
USA alipokataliwa kuchukua eneo lote pale Drive inn, aliamua kuweka base yake ya kijeshi Nairobi tofauti na alivyotaka access mpaka msasani beach ili achimbe bandari kwaajili ya manuari zake za kijeshi kufika pale. Mtafute Keenja akupe hiyo kaifa.
Zile maiti za kuotwa barabarani ziko wapi? Hakuna mtanzania kiburi wa kifo au mjinga wa kihivyo.
Na mwisho jua hatutangaziwi rate ya vifo vinavyoripotiwa kwa siku, ni zaidi ya hiyo project corona, na mpaka sasa kidunia, sidhani kama inaingia hata 5 kubwa za zinazoua zaidi duniani.