Amesahau ishu za Escrow na EPA wakati akiwa naibu waziriDaima nitabakia tu na mshangao kwa aliyemteua huyu Waziri! Sijui aliwaza nini!!!
Hii nchi ina viongozi wenye akili za ajabu, ila huyu Lameck! Nadhani amewazidi wengi kati yao.Hivi mtu anayetuma Tshs 1 mpaka Tshs999/= Hio pesa anaituma vipi kama hajaweka ?
ili atume hio pesa inabidi aweke na wengi wanaweka elfu 10, 20 au mpaka laki
Sialumu viongozi / wanasiasa sababu najua huo ndio utamaduni wao kudanganya na kupiga propaganda..., ninalaumu watanzania wenzangu kwa kumeza na kuzila hizi propangandaHii nchi ina viongozi wenye akili za ajabu, ila huyu Lameck! Nadhani amewazidi wengi kati yao.
Sasa wapi ukiweka hela wanakata?,kuweka pesa ni bure mitandao yoteHivi mtu anayetuma Tshs 1 mpaka Tshs999/= Hio pesa anaituma vipi kama hajaweka ?
ili atume hio pesa inabidi aweke na wengi wanaweka elfu 10, 20 au mpaka laki
Tatizo mnapinga tu fir the sake of kupingaDaima nitabakia tu na mshangao kwa aliyemteua huyu Waziri! Sijui aliwaza nini!!!
Ni bure sababu mtandao haukukati pale pale lakini hapo kumbuka wakala analipwa n.k. (kwahio hapo provider anakuwa kama ametoa mkopo ambao in the future utalipwa).Sasa wapi ukiweka hela wanakata?,kuweka pesa ni bure mitandao yote
Naam hata mia unatuma ila huwezi kuweka chini ya elfu mojaHivi kuna mtandao wowote unaokubali kutuma hela chini ya 1000?
Ina maana Dokta wa uchumi hajui hii?.Ni bure sababu mtandao haukukati pale pale lakini hapo kumbuka wakala analipwa n.k. (kwahio hapo provider anakuwa kama ametoa mkopo ambao in the future utalipwa) Kumbuka hizi tozo Serikali wameweka kwamba mpaka yule anayeweka...
Sasa sh moja mpaka 999 ndio hela gani? Tozo zinatuumiza eboSerikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha.
Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni kuangalia ustawi wa jamii.
“Tumeachia miamala zaidi ya milioni 29 kwa watu ambao wanatumiana kuanzia shilingi moja mpaka Sh999, watu wanaotumiana viwango vile tuliiachilia yote ile kwa sababu dira ya rais sio kukusanya hela tu anaangalia na ustawi wa jamii, amesema Nchemba.