Waziri Mwakyembe ashushuliwa.


cheap popularity! Kwani matatizo yako Mwenge tu? The whole country hakuna kituo kisichokuwa na matatizo. Sasa waziri atavitembelea vyote? Ameona aende Mwenge kwasababu kutakuwa na mwangwi mkubwa! Kama waziri angetoa strategies za ku-improve huduma ktk vituo kutokana na uhitaji, na akafuatilia utekelezaji wake. Kama kweli alikuwa na nia ya dhati, tunategemea imediately effects za ziara yake hiyo ikiwa nipamoja na kuwajibisha wote waliozembea wajibu wao.
 

kuvimbiwa vibaya sana,ona huyu mpuuz anavyocheua,harufu mbaya! Unapozungumzia mwakyembe au magufuli ktk nchi hii,unazungumzia majembe pekee ktk nchi hii.acha ushabiki wa kijinga kijinga hapa na bila shaka we utakuwa wale wapuuz wa ukanda,kazi yao kubwa ni kuchafua wengine humu jf,mmepotoka na hamtaambulia chochote zaidi ya kupandikiza chuki kwa watz
 
Mtu yeyote akimtetea mwizi nae anakua mwizi!! Sina imani na DR.Mwakyembe tena,nitarudisha imani pale atakapotuambia alichokifichaga kwenye ripoti ya Richmond ili kuinususuru serikali iliyokua inatakiwa kuanguka ni kipi! Vinginevyo hizi ni ngonjera tuu!! Mtu makini hakurupuki kutoa maagizo bila utafiti kwanza,shame on him!
 

Umenena vema kijana!
 
ili ni mkubal mwakyembe ni lazima aulezee uma je richmond ni kwel ilitaka kumua? la sivyo ni mnafik tu!!!
 
Mbona sijaona sehemu aliyoshushuliwa hapa. Zaidi wamempatia ukweli kwa ajili ya kuufanyia kazi. Ili kama kuna mtu aliuziwa kituo chao pale Makumbusho then Mwakyembe anatakiwa afuatilie na kuwapatia ufumbuzi...tuache ushabiki wa kijinga.

kwani kushushuliwa maana yake ni nini?
 

Uchunguzi wa nini sasa? si amekwenda na amejionea mwenyewe,ulitaka alitewe habari za kupikwa ofisini kwake,amejionea na kapewa sababu za wao kuwepo maeneo yale na ameondoka akielewa kuwa kituo kimejengwa ghorofa na kilichobaki ni yeye kusimamia ukweli na kufuatilia kwa nini kituo kimetumika kujenga nyumba

aendelee na kazi hiyo,kwani ataelewa mengi ktk hizo safari zake,kuliko kusubiri habari za uongo ofisini
 
Habari umeweka kinafiki,wewe lazima utakua gwandaz.

ni Gambaz lilo kambi ya Lowaz,chengz na rost. Hawa hawataki afanikiwe ata kidogo. Ingawa nakubali kuwa ni mlopokaji ndan ya magamba. Gwandalisn hawana time na hawa wasanii
 
Kama dhamira ya kiongozi ni safi, afanye tu ziara ya kushtukiza...hii ndio itampa ukweli uliofichika...Uchunguzi wa nini? Kuna chunguzi kibao hazijapatiwa majibu...na sasa bado twasubiri ya Ulimboka
 
Kwa hiyo Mwakyembe anamwiga Mrema sivyo!!! Abuni mbinu yake mwenyewe sio kuigaiga yatamshinda.
 



Nimependa mtazamo huu ijapokuwa humo mwenye bold sikubaliani na wewe. Ni kweli kabisa kituo cha Mwenge kinatisha na kielelezo cha ubovu au uduni wa mipango miji. Lakini tatizo la pale si la viongozi peke yake. Watanzania pia tuna matatizo makubwa. Hatuna discipline au nidhamu ya maisha. Watanzania ni wavivu na watovu wa nidhamu wakubwa. Tunataka kufanyiwa kila kitu. Ni waharibifu wa miundo mbinu tunayoitengeneza wenyewe. Fikiria wale wanaoondoa mifuniko ya maji taka barabarani au wale wanaoondoa vyuma kwenye madaraja. Fikiria yule anayeoona kibao kinachoonyesha bado kilomita 250 kuingia Moshi anaongeza ziro na kibao hicho kusomeka bado kilomita 2500. Watanzania ni walalamishi huku wakiwa wapenda sifa. Ni taifa la ajabu linalohitaji Dikteta kuliongoza.

Madaktari wamegoma wanaua lakini wako wanaoshabikia eti waendeleze mgomo. Madaktari ndio wanaovunja haki za binadamu kwa kuwaacha wagonjwa wafe bila msaada wa matibabu. Lakini wako wanaowaona madaktari eti ni mashujaa. Dk. Ulimboka amepigwa. Pole ulimboka, kwa kufanyiwa ushenzi. Lakini wenye vichwa vya boga wanaodhani kuwa serikali inahusika. Hawataki hata kufikiri kuwa hivi ni nani anaweza kufanya unyama dhidi ya Dk. Ulimboka. Wanakuja na majibu rahisi kwa maswali magumu eti aliyefanya unyama huo ni serikali. Stupid thinking. Wanasahau kuwa madaktari wamejitengenezea maadui wengi ambao wanaweza kuwa ndio wanaohusika.


Now back to the point. Dk. Mwakyembe is doing a fine job. Anafanya staili ya Kim il Sung. On spot guidance. Ila wako wanaochukia wakiwemo mahasimu wake ndani ya CCM na pia kutoka Chadema chama ambacho kina-capitalize matatizo ya watanzania sawa na NAZI party ilivyocapitalize matatizo ya wajerumani na kuteka nchi au kutwaa madaraka kwa kura. Kwa CHADEMA hakina kizuri ambacho CCM na viongozi wake wanaweza kufanya. Kila siku ni shutuma tu.

Nchi hii inaelekea kubaya. Wengi wetu tuna mawazo ya ajabu na yasiyo na tija. Maneno mengi bila tija. Kazi yetu kunywa kahawa tu kuanzia asubuhi mpaka jioni. Hatufanyi kazi isipokuwa kupiga soga na kuzungumzia masuala yasiyo na tija. Waandishi wa habari ndio hasa usiseme. Mawazo yao sawa na ya watanzania wenzao. Wanaandika ujinga usio na maana. Dk. Ulimboka amepigwa sawa. Sasa hiyo imekuwa ndio stori ya kuuzia magazeti. Wanaandika alivyopigwa ulimboka. Lakini hatuoni kwenye magazeti yao idadi ya watanzania waliokufa kwa unyama wa madktari na mgomo wao wa kishenzi wenye mwelekeo wa kisiasa. Stupid nation. Maneno mengi bila vitendo
 

Kuanzia heading inaashiria chembechembe za chuki dhidi ya mchapakazi huyu! My concern hapa ni kwamba ukitaka kufanya kazi zako vizuri lazima ujishushe ili ufanikiwe katika uongozi. Uongozi sio kujitenga na wananchi au kuchagua tabaka la watu wakukutana nao eti kisa wewe ni waziri, this is very bad kwa kiongozi hasa kwa nchi hizi maskini ambapo zaidi ya silimia 80% ya wananchi wake ndio hawa wa hali ya chini hivyo ukitaka uwe unaonana na kina Mengi, Mfuruki, au kina Felix Mosha utayajuaje matatizo ya wananchi wako walio wengi? Sokoine alikuwa anakwenda mwendo kama huu na leo tunajivunia. Impact ya kiongozi wa juu kujishusha na kuonana na wananchi wa hali ya chini huwa inachochea hata wale walioko chini yake ambao kimuundo ni kama miungu watu nao wajishushe kwani kama mkubwa wao kaweza kwanini wao wasifanye? Badili mtizamo mkuu.
 
Post na content zmetofautiana wtz bhana!! Japo bora mwakyembe afanye hvyo kwan beuracracy za tz zinachelewesha maendeleo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…