Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Kinchi kidogo kisicho na rasilimali za maana kinatuzidi sisi wenye linchi likubwa lenye kila kitu.
 
Aise kwani si tulikuwa na mpango wa kuwa na kiwanda cha kuunda magari na sisi. Ni kwamba ni gharama sana au. Nchi hii yaani waziri mzima anaona raha kuagiza gari kutoka Rwanda wakati tungeweza na sisi unda ya kwetu tukatumia ya nyumbani. Anyway Mungu anihurumie. Tuna viongozi wa ajabu sana yaani
Mengi alienda na ndoto zake juu ya mradi huo.
 
Hahaha hahah hahah nafurahi sana kuona nadiscuss ngumbalu wa mambo ya kiuchumi,anaona gharama za kiuchumi ni gharama za kusafirisha gari tu,hahahah hahaha.
Yaani I say usije ukathbutu kuongea mbele ya watu kuwa gap ya balance of payment itapungua tukinunua Rwanda. Kwani tukinunua Rwanda haiwi import?
 
Yaani I say usije ukathbutu kuongea mbele ya watu kuwa gap ya balance of payment itapungua tukinunua Rwanda. Kwani tukinunua Rwanda haiwi import?

Hahaha hahah hahah usije kuongea mbele za wanaume eti gharama za kusafirisha gari kati ya nchi na nchi, so funny.
 
Tanzania shamba la bibi, Rwanda inatushidaje....kwann wao waweze?
Kwanini ununue gari toka Japan, au Dubai wakati unaweza pata gari mpya kabisa toka Rwanda. Hii itaongeza biashara kati ya nchi za Africa. Sisi Tanzania lazima tutapata fursa ya kuuza vitu vingi vingine Rwanda- mikataba ya Biashara . Nipe nami nikupe- hii ni habari njema siyo kitu cha kubeza kabisa. Waafrika tunaona fahari kununua vitu toka kwa Wachina, Wajapani na Wazungu. Hakika Waziri angesema Tanzania imeingia mkataba na Japan kuleta magari - wengi wangeshangilia. Tunatakiwa kufanya Africanasity! Kazi ziendelee!
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Wanasiasa hawana aibu. Leo unajisifu kwenda kununua magari Rwanda? Kwa ukubwa wa nchi yako, mali asili zako, unakosa ubunifu na kuzidiwa na nchi iliojenga uchumi kwa kuuua tembo wako na kuuza pembe? Nchi inayo endesha uchumi wake kwa kuiba dhahabu na mbao toka DRC? Ni aibu kubwa.
 
Hatuna shida ya kununua magari kutoka Rwanda, hata kutoka Japan na kwingineko bei ni ndogo tunaweza tatizo kodi za ajabu bandarini.

Labda tuanzisha kiwanda hapa
Transfer of technology. Badala ya kupeleka wataalamu kwenye misafara ya kupata mbinu za ujenzi wa viwanda tunapeleka makada. Miaka ya nyuma kilianzishwa kiwanda cha kutengeneza baiskeli 'swala' kikakwama. Kilikuwa kinazalisha baiskeli 5 kwa siku!
 
Angalia "upeo" wa wateuliwa wa Rais kuanzia maDED wa juzi alafu ujiulize tena swali lako!!
Kuna kamoja kako na dimpo-dimpo fulani hivi, dah! Sema pisi kali kama ile aisee siyo kabisa!

Kwenye CMT sjui inakiwaje wallah! Kangekuja huku Chigoma ningekaroga mmae
 
Back
Top Bottom