Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Watanzania tuache wivu za kijinga kwanini tununue Japan au German wakati magari yapo Rwanda!
Jiulize kama ulishawaona watu 4 unaowafahamu ambao wamenunua gari MPYA...yaani kutoka kwa wakala wa kampuni husika ya gari sio "befoward"nk.
 
Kwan wanayo USED ....?
Ajabu hata serikali yao wenyewe wana tumia magari ya toyota V8 na ma range
Mbona hawatumii izo VW
 
niko na classfied information, hii kiwada kilikuwa kijengwa tz, lakini wawekezaji wakaletewa lots of REDTAPE, na ndio wakahamia rwanda, pale rwanda kufungua kamupuni na kufungua account ya banki ya hio kamupuni yako ni kaa masaa 24 pekee, na kila kitu kinafanyika online, jaribu kufungua kamupuni au kuregister kamupuni hapa kwetu, utapata maumivu makali kuliko mama ambae anajifungua,tz tuna kila kitu, lakini underccm we are heading nowhere, sasa nani atawekeza katika taifa ambalo inamubadikia kesi ya ugaidi kiongi wa upizani, for sure tz will remain poor under samia
 
Toyota ilikuwa waweke kiwanda cha kuunganisha magari yao Tanzania kutokana na mipango iliyowekwa na awamu ya 5. Alupoingia kivuruge, kila kitu kikayeyuka. Na huyu wa sasa, na hizi keso za kubambikiza, tusahau kila kitu maana kanuni inatuambia kuwa mwongo hawi mwongo kwa jambo moja.

"Nitalinda demokrasia, na hakiza watu", .... Halafu, "mkamateni huyo Mbowe, mpeni kesi yoyote maana naona wananidharau kwa kuwa mimi ni mwanamke"

"Sitaki kodi za dhuluma. Wawekezaji waje wawekeze. Tutalinda mitaji yao" .... Halafu ????? (Hakuna ajuaye).
Sitaki kodi za dhulma then unaanzisha tozo inayowakandamiza raia
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Safi sana na tusione Aibu pia hata ikiwezekana 'Kukopa' na Akili kubwa za ( walizonazo ) Wanyarwanda ili zisaidie kuwafanya Watanzania wengi ( japo siyo Wote ) wajue Kufikiri na Kuiletea nchi yao Maendeleo makubwa na waachane na tabia za Majungu, Fitina, Chuki, Wivu na Uswahili ambazo ndizo zinawachelewesha kufikia kule ambako Rwanda ipo kwa sasa au inapoelekea.
 
Back
Top Bottom