Waziri Mkuu wa Kenya apata mshahara maradufu kumzidi rais wa Marekani (Obama)

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Messages
618
Points
500

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2011
618 500
Si wengi wanaofahamu kuwa kwa sasa wanasiasa wa Kenya wanalipwa mishahara minono kuliko nchi nyingi duniani. Bunge la Kenya liliridhia nyongeza ya mishahara ya wabunge na kuidhinisha kila mbunge kulipwa mshahara wa dola 126,000 kwa mwaka, sawa na Sh. 201 milioni au Sh. 16.8 milioni kwa mwezi.

Kiasi hicho cha mshahara, kina maana ya kiwango sawa na mshahara wa mbunge wa Marekani.
Bunge hilohilo ndilo lilipitisha mshahara wa Waziri Mkuu ambao unazidi ule anaolipwa Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza. Aidha, wabunge wa Kenya, wamo katika harakati za kutaka mishahara yao isikatwe kodi.
Fikiria: Wakati kipato cha mwananchi wa Marekani kwa wastani ni dola 50,000 kwa mwaka (Sh. 80 milioni), kipato cha mwananchi wa kawaida wa Kenya kwa wastani ni dola 730 tu (Sh. 1.1 milioni) kwa mwaka au chini ya dola 2 kwa siku.
Lakini kwa nchi ambayo wanasiasa wake wanalipwa viwango sawa na wale wa Marekani, mtu angeweza kutarajia nchi hiyo ina miundombinu safi, huduma bora za jamii zikiwamo elimu, maji na afya bure, umeme kwa wingi na bei rahisi na kadhalika.
Wakati Kenya inajitanua kimatumizi kwa wanasiasa wake wakubwa, bado inategemea kusaidiwa na wafadhili kujaza pengo la bajeti yake ya kila mwaka ingawa kiwango cha ufadhili kinashuka mwaka hadi mwaka.
Kutokana na mishahara mikubwa kwa wanasiasa wa Kenya, mtu angetarajia kwamba hakuna haja tena kwao kuliibia taifa kupitia vitendo vya kifisadi. Wizi na ufisadi vimekuwa vitendo vilivyoshamiri katika sekta ya umma nchini humo.

HII HAPA NI ORODHA YA VIONGOZI WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA DUNIANI.

 1. Lee Hsien Loong – Waziri Mkuu wa Singapore: Dola 2,856,930 (Tsh 4.5bn) kwa mwaka.
 2. Donald Tsang – Mtawala Mkuu wa Hong Kong ambayo sasa ni sehemu ya China: Dola 513,245 (Tsh 821m/-) kwa mwaka.
 3. Raila Odinga – Waziri Mkuu wa Kenya: Dola 427,886 (TSh 684m/-) kwa mwaka.
 4. Barack Obama – Rais wa Marekani: Dola 400,000 (Tsh 640m/-) kwa mwaka.
 5. Nicolas Sarkozy – Rais wa Ufaransa – Dola 345,423 (TSh 552.6m/-) kwa mwaka.
 6. Stephen Harper – Waziri Mkuu wa Canada: Dola 296,400 (Tsh 474.2m/-) kwa mwaka.
 7. Mary McAleese – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Ireland: Dola 287,900 (Sh. 460.6 milioni) kwa mwaka.
 8. Julia Gillard – Waziri Mkuu wa Australia: Dola 286,752 (Sh. 458.8 milioni) kwa mwaka.
 9. Angela Merkel – Waziri Mkuu (Chancellor) wa Ujerumani: Dola 283,608 (Sh. 453.7 milioni) kwa mwaka.
 10. Naoto Kan – Waziri Mkuu wa Japan: Dola 273,676 (Sh. 437.8 milioni) kwa mwaka.
 11. Jacob Zuma – Rais wa Afrika ya Kusini: Dola 272,280 (Sh. 435.6 milioni) kwa mwaka.
 12. John Key – Waziri Mkuu wa New Zealand: Dola 271,799 ( Tsh 434.8m/-) kwa mwaka.
 13. David Cameron – Waziri Mkuu wa Uingereza: Dola 215,390 (Sh. 344.6 milioni) kwa mwaka.
 14. Ma Ying-jeu – Rais wa Taiwan: Dola 184,200 (Sh. 294.7 milioni) kwa mwaka.
 15. Lee Myung-bak – Rais wa Korea Kusini: dola 136,669 (Sh. 218.6 milioni) kwa mwaka.
HIVI KWELI KENYA NI TAJIRI SANA KUIZIDI MAREKANI???????
 
Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,838
Points
0

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,838 0
Different strokes for different folks. What has Kenyan PM's emoluments got to do with us. We have a lot of our own predicaments and a number of quagmires yet to be settled. So instead of wasting mettle in discussing other's matters, better we allocate those spare calories to dig into our own troubles. Shame to whoever meshuggener who has brought in this codswallopish thread which might unmistakably be the stupidest of the year.
 
Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
1,779
Points
0

Zing

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
1,779 0
Different strokes for different folks. What has Kenyan PM's emoluments got to do with us. We have a lot of our own predicaments and a number of quqgmires yet to be settled. So instead of wasting mettle in discussing other's matters, better we allocate those spare calories to dig into our own troubles. Shame to whoever meshuggener who has brought in this codswallopish thread which might unmistakably be the stupidest of the year.
At least for the kenyan its known to the public how much Is kenyan PM siphoning. Informtion is knowledge....

So can u allocate your callories to get us information about the Salary and entittled benefits of our honorable PM and even President .?

 • Do u know how much (financially) is allocated for Retired Mkapa, Mwinyi , Msuya Wariob, Lowasa?
 • Do u know how much (finanacially) is allacted for family of Nyerere, Sokoine. Is it a right or its a favour?
Waiting to learn from your critical and analytical comment

Ms Judith

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
2,567
Points
1,225

Ms Judith

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
2,567 1,225
umemsahau mkurugenzi wa PPF bw wilium erio!

niliwahi kusoma humu jamvini kuwa anapata honoraria ya kama 500+milion hivi, sijui ni kwa mwaka au kwa mwezi, hebu jaribu kugoogle zaidi halafu urudi vizuri zaidi mpendwa

ubarikiwe!
 
Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,327
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,327 2,000
Asante kwa kutuwekea Gazeti la Mwanahalisi la tar. 17-23 August 2011, huo ndio ukweli kuhusu Kenya, Je Kibaki na Kalonzo Musyoka wapo juu ya Odinga wanalipwa ngapi? Imagine....!
Ila hii ya Rooney wa Man U analipwa takriban pound 170,000 kwa wiki, sawa na pound 8.8 mil kwa mwaka, huku Waziri mkuu wake David Cameroon analipwa dola 215,390 au pound 132,336 kwa mwaka inatisha, hii ni kusema Rooney anamzidi Waziri mkuu wake mara 66 kwa mshahara kwa mwaka, ndio utajua Duniani tunatofautiana saaana, watu mkatae tu, we are different sana
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,439
Points
2,000

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,439 2,000
Si wengi wanaofahamu kuwa kwa sasa wanasiasa wa Kenya wanalipwa mishahara minono kuliko nchi nyingi duniani. Bunge la Kenya liliridhia nyongeza ya mishahara ya wabunge na kuidhinisha kila mbunge kulipwa mshahara wa dola 126,000 kwa mwaka, sawa na Sh. 201 milioni au Sh. 16.8 milioni kwa mwezi.

Kiasi hicho cha mshahara, kina maana ya kiwango sawa na mshahara wa mbunge wa Marekani.
Bunge hilohilo ndilo lilipitisha mshahara wa Waziri Mkuu ambao unazidi ule anaolipwa Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza. Aidha, wabunge wa Kenya, wamo katika harakati za kutaka mishahara yao isikatwe kodi.
Fikiria: Wakati kipato cha mwananchi wa Marekani kwa wastani ni dola 50,000 kwa mwaka (Sh. 80 milioni), kipato cha mwananchi wa kawaida wa Kenya kwa wastani ni dola 730 tu (Sh. 1.1 milioni) kwa mwaka au chini ya dola 2 kwa siku.
Lakini kwa nchi ambayo wanasiasa wake wanalipwa viwango sawa na wale wa Marekani, mtu angeweza kutarajia nchi hiyo ina miundombinu safi, huduma bora za jamii zikiwamo elimu, maji na afya bure, umeme kwa wingi na bei rahisi na kadhalika.
Wakati Kenya inajitanua kimatumizi kwa wanasiasa wake wakubwa, bado inategemea kusaidiwa na wafadhili kujaza pengo la bajeti yake ya kila mwaka ingawa kiwango cha ufadhili kinashuka mwaka hadi mwaka.
Kutokana na mishahara mikubwa kwa wanasiasa wa Kenya, mtu angetarajia kwamba hakuna haja tena kwao kuliibia taifa kupitia vitendo vya kifisadi. Wizi na ufisadi vimekuwa vitendo vilivyoshamiri katika sekta ya umma nchini humo.

HII HAPA NI ORODHA YA VIONGOZI WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA DUNIANI.

 1. Lee Hsien Loong – Waziri Mkuu wa Singapore: Dola 2,856,930 (Tsh 4.5bn) kwa mwaka.
 2. Donald Tsang – Mtawala Mkuu wa Hong Kong ambayo sasa ni sehemu ya China: Dola 513,245 (Tsh 821m/-) kwa mwaka.
 3. Raila Odinga – Waziri Mkuu wa Kenya: Dola 427,886 (TSh 684m/-) kwa mwaka.
 4. Barack Obama – Rais wa Marekani: Dola 400,000 (Tsh 640m/-) kwa mwaka.
 5. Nicolas Sarkozy – Rais wa Ufaransa – Dola 345,423 (TSh 552.6m/-) kwa mwaka.
 6. Stephen Harper – Waziri Mkuu wa Canada: Dola 296,400 (Tsh 474.2m/-) kwa mwaka.
 7. Mary McAleese – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Ireland: Dola 287,900 (Sh. 460.6 milioni) kwa mwaka.
 8. Julia Gillard – Waziri Mkuu wa Australia: Dola 286,752 (Sh. 458.8 milioni) kwa mwaka.
 9. Angela Merkel – Waziri Mkuu (Chancellor) wa Ujerumani: Dola 283,608 (Sh. 453.7 milioni) kwa mwaka.
 10. Naoto Kan – Waziri Mkuu wa Japan: Dola 273,676 (Sh. 437.8 milioni) kwa mwaka.
 11. Jacob Zuma – Rais wa Afrika ya Kusini: Dola 272,280 (Sh. 435.6 milioni) kwa mwaka.
 12. John Key – Waziri Mkuu wa New Zealand: Dola 271,799 ( Tsh 434.8m/-) kwa mwaka.
 13. David Cameron – Waziri Mkuu wa Uingereza: Dola 215,390 (Sh. 344.6 milioni) kwa mwaka.
 14. Ma Ying-jeu – Rais wa Taiwan: Dola 184,200 (Sh. 294.7 milioni) kwa mwaka.
 15. Lee Myung-bak – Rais wa Korea Kusini: dola 136,669 (Sh. 218.6 milioni) kwa mwaka.
HIVI KWELI KENYA NI TAJIRI SANA KUIZIDI MAREKANI???????
USD 10,500 kwa mwezi ni mshahara wa kawaida tuu. Kwani Mrema wa Tanroad alikuwa analipwa ngapi? CEO wa Breweries, AirTel, Tanga Cement, Twiga Cement, Mamlaka ya Bandari wanalipwa kiasi gani?
 
LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
1,640
Points
0

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
1,640 0
Kenya is the most capitalist country all over the world. The population percentage of Kenyans who possess the above 50% of its economy is smaller than that of USA.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
84,129
Points
2,000

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
84,129 2,000
Raisi wa Marekani anastahili kulipwa huo mshahara kwa sababu Marekani ni tajiri sana na imeendelea mno. Lakini waziri mkuu wa Kenya kulipwa zaidi ya raisi wa Marekani wakati Kenya ni kanchi ka ulimwengu wa tatu haingii akilini mwangu.

Go USA go!
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Si wengi wanaofahamu kuwa kwa sasa wanasiasa wa Kenya wanalipwa mishahara minono kuliko nchi nyingi duniani. Bunge la Kenya liliridhia nyongeza ya mishahara ya wabunge na kuidhinisha kila mbunge kulipwa mshahara wa dola 126,000 kwa mwaka, sawa na Sh. 201 milioni au Sh. 16.8 milioni kwa mwezi.

Kiasi hicho cha mshahara, kina maana ya kiwango sawa na mshahara wa mbunge wa Marekani.
Bunge hilohilo ndilo lilipitisha mshahara wa Waziri Mkuu ambao unazidi ule anaolipwa Obama na Waziri Mkuu wa Uingereza. Aidha, wabunge wa Kenya, wamo katika harakati za kutaka mishahara yao isikatwe kodi.
Fikiria: Wakati kipato cha mwananchi wa Marekani kwa wastani ni dola 50,000 kwa mwaka (Sh. 80 milioni), kipato cha mwananchi wa kawaida wa Kenya kwa wastani ni dola 730 tu (Sh. 1.1 milioni) kwa mwaka au chini ya dola 2 kwa siku.
Lakini kwa nchi ambayo wanasiasa wake wanalipwa viwango sawa na wale wa Marekani, mtu angeweza kutarajia nchi hiyo ina miundombinu safi, huduma bora za jamii zikiwamo elimu, maji na afya bure, umeme kwa wingi na bei rahisi na kadhalika.
Wakati Kenya inajitanua kimatumizi kwa wanasiasa wake wakubwa, bado inategemea kusaidiwa na wafadhili kujaza pengo la bajeti yake ya kila mwaka ingawa kiwango cha ufadhili kinashuka mwaka hadi mwaka.
Kutokana na mishahara mikubwa kwa wanasiasa wa Kenya, mtu angetarajia kwamba hakuna haja tena kwao kuliibia taifa kupitia vitendo vya kifisadi. Wizi na ufisadi vimekuwa vitendo vilivyoshamiri katika sekta ya umma nchini humo.

HII HAPA NI ORODHA YA VIONGOZI WANAOLIPWA MISHAHARA MIKUBWA DUNIANI.

 1. Lee Hsien Loong – Waziri Mkuu wa Singapore: Dola 2,856,930 (Tsh 4.5bn) kwa mwaka.
 2. Donald Tsang – Mtawala Mkuu wa Hong Kong ambayo sasa ni sehemu ya China: Dola 513,245 (Tsh 821m/-) kwa mwaka.
 3. Raila Odinga – Waziri Mkuu wa Kenya: Dola 427,886 (TSh 684m/-) kwa mwaka.
 4. Barack Obama – Rais wa Marekani: Dola 400,000 (Tsh 640m/-) kwa mwaka.
 5. Nicolas Sarkozy – Rais wa Ufaransa – Dola 345,423 (TSh 552.6m/-) kwa mwaka.
 6. Stephen Harper – Waziri Mkuu wa Canada: Dola 296,400 (Tsh 474.2m/-) kwa mwaka.
 7. Mary McAleese – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Ireland: Dola 287,900 (Sh. 460.6 milioni) kwa mwaka.
 8. Julia Gillard – Waziri Mkuu wa Australia: Dola 286,752 (Sh. 458.8 milioni) kwa mwaka.
 9. Angela Merkel – Waziri Mkuu (Chancellor) wa Ujerumani: Dola 283,608 (Sh. 453.7 milioni) kwa mwaka.
 10. Naoto Kan – Waziri Mkuu wa Japan: Dola 273,676 (Sh. 437.8 milioni) kwa mwaka.
 11. Jacob Zuma – Rais wa Afrika ya Kusini: Dola 272,280 (Sh. 435.6 milioni) kwa mwaka.
 12. John Key – Waziri Mkuu wa New Zealand: Dola 271,799 ( Tsh 434.8m/-) kwa mwaka.
 13. David Cameron – Waziri Mkuu wa Uingereza: Dola 215,390 (Sh. 344.6 milioni) kwa mwaka.
 14. Ma Ying-jeu – Rais wa Taiwan: Dola 184,200 (Sh. 294.7 milioni) kwa mwaka.
 15. Lee Myung-bak – Rais wa Korea Kusini: dola 136,669 (Sh. 218.6 milioni) kwa mwaka.
HIVI KWELI KENYA NI TAJIRI SANA KUIZIDI MAREKANI???????
The Time's Top Ten Political Leaders in the World:

1. Lee Hsien Loong (Singapore)
Salary in dollars - $2.47 million
Salary in local currency - S$3.76 million

2. Donald Tsang Yum-Kuen (Hong Kong)
Salary in dollars - $516,000
Salary in local currency - HK$4 million

3. Barack Obama (United States)
Salary in dollars - $400,000

4. Brian Cowen (Ireland)
Salary in dollars - $341,000
Salary in local currency - €257,000

5. Nicolas Sarkozy (France)
Salary in dollars - $318,000
Salary in local currency - €240,000

6. Angela Merkel (Germany)
Salary in dollars - $303,000
Salary in local currency - €228,000

7. Gordon Brown (UK)
Salary in dollars - $279,000
Salary in local currency - £194,250

8. Stephen Harper (Canada)
Salary in dollars - $246,000
Salary in local currency - C$311,000

9. Taro Aso (Japan)
Salary in dollars - $243,000
Salary in local currency - Y24 million

10. Kevin Rudd (Australia)
Salary in dollars - $229,000
Salary in local currency - A$330,000
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Top 10 of the world's highly paid politicians:
Rank
Name
Country
Title
Salary ($ per year)
1.​
Lee Hsien Loong​
Singapore​
Prime Minister​
2.75 mln​
2.​
Donald Tsang​
Hong Kong​
Chief Executive​
515,000​
3.​
Barack Obama​
USA​
President​
400,000​
4.​
Brian Cowen​
Ireland​
Prime Minister​
342,000​
5.​
Nicolas Sarkozy​
France​
President​
320,000​
6.​
Kevin Rudd​
Australia​
Prime Minister​
316,000​
7.​
Stephen Harper​
Canada​
Prime Minister​
310,000​
8.​
Jacob Zuma​
South Africa​
President​
306,000​
9.​
Angela Merkel​
Germany​
Chancellor​
304,000​
10.​
David Cameron​
Great Britain​
Prime Minister​
300,000​

2010-07-21.
 
lifeofmshaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
868
Points
195

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
868 195
IN THREE DIMENSIONAL (3D)
ANA PATA KIASA GANI KULINGANISHA NA WAZIRI MKUU WA KENYA

Barack Obama boosts presidential salary with $5 million in book sales
Being President has done wonders for Barack Obama's book sales. Even though his official salary - pro-rated to reflect his earnings from his first 345 days in office - amounted to a mere $374,460 (£240,000), Mr Obama declared a total income for last year of more than $5.5 million.
That did not include the $1.4 million Nobel Peace Prize money he won and donated to ten charities.
"The vast majority of the family's 2009 income is the proceeds from the sale of the President's books," Norm Eisen, Mr Obama's ethics adviser, wrote in a post on the White House blog yesterday. The Obamas signed their joint 65-page tax return a week ago but April 15 is the deadline for filing returns for 142 million Americans and the day the First Couple promised to post theirs online.
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]For anyone yearning for name recognition to help them to storm the bestseller charts, it makes irritating reading: the Obamas reported $5,173,777 in business income, most of it royalties from the continuing sales of only two books, the second of which was published four years ago[/FONT]
The Audacity of Hope, Mr Obama's lyrical manifesto for a long-shot presidential run, sold 182,000 copies in hardback in its first three weeks on the shelves and eclipsed even John Grisham on The New York Times bestseller list. It has sold steadily ever since though it is nowhere near as popular as his first book, Dreams From My Father.
Mr Obama's writings have accounted for most of his family's earnings since he shot to prominence at the Democratic convention of 2004.
The couple reported approximately $1 million in pre-tax income for 2006 and $4.2 million for 2007, when Mr Obama announced his White House bid.
Sales slumped, relatively speaking, in 2008: their gross earnings for the year of the campaign were $2.7 million, of which they paid $855,000 in tax.
For last year the Obamas have paid nearly $1.8 million in tax and donated $329,100 to charity, on top of the Nobel Prize money.
That contrasted strongly with the more meagre tax returns of the Vice- President, Joe Biden, and his wife, Jill, who declared $333,182 in joint income for 2009.
If the experience of Bill and Hillary Clinton is anything to go by, the Obamas are only beginning to tap into their earning potential. In April 2008 the Clintons released combined income figures of $109 million for the eight years since Mr Clinton left the White House.
It has been traditional since the Nixon years for US presidents to publish at least some of their tax details; a practice that began with the resignation of Spiro Agnew, President Nixon's first Vice-President, amid allegations of taking bribes and dodging taxes.
The only Vice-President since then to refuse to publish his full return was Dick Cheney in 2000, his first year in the White House after a long and lucrative stint as chairman of Halliburton, a conglomerate providing services to the oil industry and the US Armed Forces. Mr Cheney released only a summary of his earnings for the previous year. In 2001 he and President Bush published partial tax returns.
The President's salary is currently set at $400,000 a year, excluding expenses. The First Lady does not draw a salary. About 40 per cent of Americans pay 86 per cent of all federal tax revenues, while 36 per cent pay none at all.
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] BADO HELA YA U [/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]SENATOR[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] HAPO WENZETU WAKO MAKINI KATIKA KULIPA VIONGOZI WAO LAKINI KAMWE SIO CHINI YA WANACHOLIPWA WAAFRIKA NATHANI UNAJUA GHARAMA WANAZO TUMIA KUMTUNZA YEYE NA FAMILIA YAKE HAZISHIKIKI PIA[/FONT]
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
[h=3]1. Lee Hsien Loong[/h]

Prime Minister of Singapore
Annual Salary $US2,856,930
[h=3]2. Donald Tsang[/h]

Chief Executive Officer of Hong Kong
Annual Salary: US$513, 246
[h=3]3. Raila Odinga[/h]

Prime Minister Of Kenya
Annual Salary:US$427, 886
[h=3]4. Barrack Obama[/h]

President of the United States
Annual Salary: US$400, 000
[h=3]5. Nicholas Sarkhozy[/h]

President of France
Annual Salary:US$345,423
[h=3]6. Stephen Harper[/h]

Prime Minister of Canada
Annual Salary:US$296,400
[h=3]7. Mary McAleese[/h]

President of Ireland
Annual Salary:US$287,900
[h=3]8. Julia Gillard[/h]

Prime Minister Of Australia
Annual Salary:US$286,752
[h=3]9. Angela Merkel[/h]

Chancellor of Germany
Annual Salary:US$283,608
[h=3]10. Naoto Kan[/h] [h=3]
[/h] [h=4]Prime Minister of Japan[/h] [h=4]Annual Salary:US$273,676[/h]
 
lifeofmshaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
868
Points
195

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
868 195
Top 10 of the world's highly paid politicians:
Rank
Name
Country
Title
Salary ($ per year)
1.​
Lee Hsien Loong​
Singapore​
Prime Minister​
2.75 mln​
2.​
Donald Tsang​
Hong Kong​
Chief Executive​
515,000​
3.​
Barack Obama​
USA​
President​
400,000​
4.​
Brian Cowen​
Ireland​
Prime Minister​
342,000​
5.​
Nicolas Sarkozy​
France​
President​
320,000​
6.​
Kevin Rudd​
Australia​
Prime Minister​
316,000​
7.​
Stephen Harper​
Canada​
Prime Minister​
310,000​
8.​
Jacob Zuma​
South Africa​
President​
306,000​
9.​
Angela Merkel​
Germany​
Chancellor​
304,000​
10.​
David Cameron​
Great Britain​
Prime Minister​
300,000​

2010-07-21.
Hawa waliotoa hii record wanajua mshahara wa kikwete? au wanalopoka tu
wanatafuta umaarufu tu hao, ni hakika kwenye namba 6 raisi wetu mpendwa kikwete hakosemani
wanamuonea kwa sababu ya dini yake
 
Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,511
Points
1,500

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,511 1,500
Tanzania mshahara wa rais ulifanywa kuwa siri enzi za Mkapa. Wakati wa Mwalimu Nyerere alikuwa analipwa shilingi elfu sita kwa mwezi na baada ya maandamano ya wanafunzi wa chuo kikuu 1966 akaupunguza kwa asilimia 20. Lakini siku hizi ukiulizwa unaambiwa ni siri ya serikali.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
21,261
Points
2,000

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
21,261 2,000
Asante kwa kutuwekea Gazeti la Mwanahalisi la tar. 17-23 August 2011, huo ndio ukweli kuhusu Kenya, Je Kibaki na Kalonzo Musyoka wapo juu ya Odinga wanalipwa ngapi? Imagine....!
Ila hii ya Rooney wa Man U analipwa takriban pound 170,000 kwa wiki, sawa na pound 8.8 mil kwa mwaka, huku Waziri mkuu wake David Cameroon analipwa dola 215,390 au pound 132,336 kwa mwaka inatisha, hii ni kusema Rooney anamzidi Waziri mkuu wake mara 66 kwa mshahara kwa mwaka, ndio utajua Duniani tunatofautiana saaana, watu mkatae tu, we are different sana
Nadhani wanazungumzia viongozi.Rooney halipwi kwa kutumia pesa za walipa kodi.Hapo ndo kuna utofauti.U got it twisted.Please compare aples to aples.Kama kuna mwanamichezo analipwa zaidi ya Rais wa nchi fulani, hapo nchi haina maana kuwa sasa Rais na yeye alipwe zaidi ya mwanamichezo huyo.Angalia thread inazungumzia viongozi na si wanamichezo.Hao ni matajiri kuliko viongozi wengi tu.Labda Camaroon na yeye aichezee man u.Pesa za wananchi si za kuchezea.
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Hawa waliotoa hii record wanajua mshahara wa kikwete? au wanalopoka tu
wanatafuta umaarufu tu hao, ni hakika kwenye namba 6 raisi wetu mpendwa kikwete hakosemani
wanamuonea kwa sababu ya dini yake
Mkuu Mshahara wa Mkulu wa mwezi ni sawa na Mshahara wa Obama wa mwaka mzima. kiujanja ujanja hawauiti ni mshahara, wanasema ni posho
 
Forum statistics

Threads 1,366,453
Members 521,454
Posts 33,369,495
Top