Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla.
Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja.

Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu wengi. Mkuu wa mkoa amepiga kimya, watu wanaokufa ni wengi Hadi watumishi wa umma wanakaribia kufukuzwa kazi kwa kuomba ruhusa za Kila siku kwenda kuzika ndugu zao.
Wewe ndugu zako wamekufa wangapi? Waambie wamrudie Mwenyezi Mungu wamezidi kufanya dhambi.
 
Idadi ya watu Waliofariki katika Kwa muda wa masaa 24 , hospital ya KCMC na Mawenzi Hadi Leo saa 7 mchana ni watu 42
Hiyo ni idadi kubwa sana, je watu wanaitikiaje njia za kujikinga hasa kuvaa barakoa, sanitizer, kupunguza pilika pilika hasa kwa wazee kukaa nyumbani......au vikao vya kwenye mbege bado vinaendelea. Mimi bado naamini jamii kuchukua tahadhari zaidi za kujikinga na labda matumizi ya dawa zetu za asili, nyungu nk.
 
PPRA Nako naona kilio kimehamia huko
 
Mhe.Waziri Mkuu naona kama kapigwa kufuli maaana alikuwa anafurumua uovu lkn yapata mwezi naona kama mwenendo wake umepooza. Huenda kapigwa sindano ya Ganzi ili kumpunguza nguvu, Rimoti control iliyopo Busoga ndio nguzo kuu hata BANDARI YA FAMILIA BWAGGAPESA Ndio habari ya Mjini ili Vizazi na Vizazi watawale Uchumi wa Nchi hiii. Ippo siku yajjja hata miongo mingapi ijayo naVizazi vyenu mtazitapika pessa za Watanzania tuuuuu.
Mkuu wewe na mrisho mna tungo kabisa.
 
Mungu asaidie asee

Nafikiri na hii baridi inaongeza kitu kwenye haya maambukizi

Mungu ailinde Moshi.
 
Mhe.Waziri Mkuu naona kama kapigwa kufuli maaana alikuwa anafurumua uovu lkn yapata mwezi naona kama mwenendo wake umepooza. Huenda kapigwa sindano ya Ganzi ili kumpunguza nguvu, Rimoti control iliyopo Busoga ndio nguzo kuu hata BANDARI YA FAMILIA BWAGGAPESA Ndio habari ya Mjini ili Vizazi na Vizazi watawale Uchumi wa Nchi hiii. Ippo siku yajjja hata miongo mingapi ijayo naVizazi vyenu mtazitapika pessa za Watanzania tuuuuu.
Hii habari ni tofauti na huu uchangiaji acha uchawi.
 
Sasa unataka ukiandika upupu nikurembe na kukuchombeza na kukupapasa na kukuchekea?Kati ya kuandikia watu upupu na kutukanwa lipi ni baya zaidi?Yaani wewe utuandikie sisi upupu halafu sisi tukuchombeze?!Akili za wapi hizi!!

Yaani viongozi walewale waliokuwa wanapinga uwepo wa Corona Tanzania leo anawaambia kuwa washughulikie janga la Corona,wewe unaona kuwa huyu mtu yupo sawa kuchwani?
Nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom