Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Labda nikupe ushauli siku ukitaka kusafiri nenda alfajiri stend ya zamani hua kuna vigari vidodogo nauri 3000 mpaka 4000.
Kwa umbali huo nauli inabidi isizidi 600 mkuu ww utakua huna uelewa kabisa
 
Baada ya maduka kufungwa mkurugenzi anakuja na huu mkwara
IMG-20210222-WA0005.jpg
 
Shida mtu anae ishi ruhuwiko akitaka kusafiri kwenda dar anatakiwa alipe nauli asubuhi ya pikipiki 15000 ili afike stendi iliyopo shule ya tanga, maana stendi nyingine zote hawaruhusiwi kupakia
Hapo usiwe na mizigo mingi
 
Kwa umbali huo nauli inabidi isizidi 600 mkuu ww utakua huna uelewa kabisa
[/Q mm nimetoa tu ushauri lakini kama upo uwezekano wahusika watumie busara zaidi usumbufu kweri upo mkubwa.
 
Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Shule ya Tanga hadi Songea Mjini ni kilometre ngapi? bila shaka ulihusika kupeleka stand huko Shule upuuzi gani sijui mnafanya, kwa gari ndogo nimeona ni 18Km hadi kufika Songea Mjini bado ni mbali sana hasa ukizingatia hakuna usafiri wa kuunganisha Shule ya Tanga na mjini hasa usiku na asubuhi, safari ya Dar lazima uamke saa kumi alfajiri.
 
Wanatesa wananchi wasio na hatia,stendi nzuri ni ile inayofurahiwa na watumiaji,lakini stendi ya songea hakuna abiria anayoifurahia bali imekuwa kero
 
Baada ya maduka kufungwa mkurugenzi anakuja na huu mkwara View attachment 1708992
Hili bandiko halina haki ya kuwa hiyo sehem,nasema halina haki kwasababu halina muhuri wa mkurugenzi wa manispaa ya Songea,pili halina sahihi ya mkurugenzi wa manispaa,kwahiyo bandiko hili linapaswa kupuuzwa.
 
Kilometa 20 nje ya mji!!! Huo si ukichaa kweli!!!
Hapana mkuu, kwa mwenye kuwaza, kilometa 20 siyo mbali sana, ni kama mji wa Serikali na katikati ya Jiji la Dodoma au kutoka Posta hadi Mbezi Louis(23km)
Kwa mfano zamani niliona mbali sana kutoka kiwanda cha Dangote hadi mjini Mtwara(wastani wa 21km), lakini leo ni kawaida sana. Ili kutanua mji, ni bora kutapanya huduma maeneo ya mbali.
Leo huwez kuona mantik, lakini baada ya miaka kadhaa utakuja kuelewa. Niwaponheze pia Iringa kwa kuondoa ule msongamano na kuipeleka Igumbilo stendi yao(wastani wa 11km) kutoka mjini Iringa.
 
Huu mtindo wa hovyo mno , hii nchi ina watu wenye akili matope Sana , unapeleka stend 20km away kwenye mji kama Songea ??? Hvi viongozi wanafkr Kwa kutumia matako au makalio .... Stendi ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria , sio lazima uwe na stend moja unaweza kuwa na stend hata tatu kulingana na mji unavyoingilika kupitia njia kuu... Kama ilivyo Mwanza , wafanyabiashara huko inabid mkaze mwanzo mwenga.. nothing to loose , ikibidi wenye mabas pia mzingue vile vile
Mkuu, Mwanza nimewainulia mikono juu. Wana stendi mbili moja Shinyanga road(nafikiri ni Buhongwa au jirani na Buhongwa), na nyingine ni Musoma road(kuelekea Kisesa) na zote kubwa karibu sawa na ile ya Dodoma. Kiukweli jiji la Mwanza linakuja vizuri sana.
 
Msamala..panaboa kule..sijui kwanini wasikarabati hii zamani ikaendelea kutumika hiyo hiyo
 
Kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa mpaka stand ni kilomita 15. That means kuna watu along mbamba bay Road wanaweza kufikisha kilomita 20 kirahisi kabisa.
Sasa kwa muktadha huo, hata ilipokua ya zamani, bado kutakua kuna watu walilazimika kutembea umbali huo, hiyo BALANCING ni ngumu sana kuifanya. Hata kwa DSM pale Ubungo na kwa sasa Mbezi Louis(kuanzia 25.2.2021, kama taarifa zilizonukuliwa zitabaki hivyo), siyo watu wote wanaweza kufaidika na umbali. Mtu wa Chanika, Mbagala, Gezaulole, Kongowe, Toangoma, Kibada, wengi watatumia zaidi ya kilometa 30, 40 hadi 50 kufika Mbezi, wakati wenzao wa Kimara, Kinyerezi, Kibamba ni kuanzia 10km na pungufu ya hizo.
 
Hapana mkuu, kwa mwenye kuwaza, kilometa 20 siyo mbali sana, ni kama mji wa Serikali na katikati ya Jiji la Dodoma au kutoka Posta hadi Mbezi Louis(23km)
Kwa mfano zamani niliona mbali sana kutoka kiwanda cha Dangote hadi mjini Mtwara(wastani wa 21km), lakini leo ni kawaida sana. Ili kutanua mji, ni bora kutapanya huduma maeneo ya mbali.
Leo huwez kuona mantik, lakini baada ya miaka kadhaa utakuja kuelewa. Niwaponheze pia Iringa kwa kuondoa ule msongamano na kuipeleka Igumbilo stendi yao(wastani wa 11km) kutoka mjini Iringa.
Ni kweli lakini kabla ya kufanya upanuzi lazima kufikiria factors zingine hasa uwezo wa wananchi kiuchumi kwa wakati husika, na wakati mwngine kuwashirikisha wananchi katika kufanya maamuzi ni kuhimu ili kutowasababishia tafrani
 
Back
Top Bottom