Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

20km ni kawaida tuu, ni umbali wa kutoka Kimara mwisho mpaka kibaha au Dodoma pale Mtumba mpk Dodoma mjini,
Mji ukikua inakua kawaida, hata wakazi wa Dar mpaka mbezi au Ubungo inategemea unatoka wapi...
Sijawahi kufika Songea[emoji28]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Kwa population ya songea haikutakiwa stand iwe mbali vile mji hautanuliwi kwa kupeleka huduma mbali
 
Shule ya Tanga hadi Songea Mjini ni kilometre ngapi? bila shaka ulihusika kupeleka stand huko Shule upuuzi gani sijui mnafanya, kwa gari ndogo nimeona ni 18Km hadi kufika Songea Mjini bado ni mbali sana hasa ukizingatia hakuna usafiri wa kuunganisha Shule ya Tanga na mjini hasa usiku na asubuhi, safari ya Dar lazima uamke saa kumi alfajiri.
Saa 10? Au 8?
 
Msamala..panaboa kule..sijui kwanini wasikarabati hii zamani ikaendelea kutumika hiyo hiyo
Ile ya mjini kabisa ni ya dala dala, tatizo msamala pale ni eneo la jeshi, ndo maana paliachwa vile.
 
Usifananishe Dar na Songea Mbezi inafikika kwa urahisi japo mbali piakunaBus zinaanzia Mbagala,Mbande
Sasa kwa muktadha huo, hata ilipokua ya zamani, bado kutakua kuna watu walilazimika kutembea umbali huo, hiyo BALANCING ni ngumu sana kuifanya. Hata kwa DSM pale Ubungo na kwa sasa Mbezi Louis(kuanzia 25.2.2021, kama taarifa zilizonukuliwa zitabaki hivyo), siyo watu wote wanaweza kufaidika na umbali. Mtu wa Chanika, Mbagala, Gezaulole, Kongowe, Toangoma, Kibada, wengi watatumia zaidi ya kilometa 30, 40 hadi 50 kufika Mbezi, wakati wenzao wa Kimara, Kinyerezi, Kibamba ni kuanzia 10km na pungufu ya hizo.
 
Igumbilo haiko sehemu mbaya sana kulinganishana Songea halafu pia Iringa ina uchumi mkubwa usifananishe na Songea,,,kwanza Igumbilo usafiri upo wa uhakika sio kule S/Tanga
 
Back
Top Bottom