Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Mkuu kutoka SHULE YA TANGA HADI MJINI TUFANYE LABDA KM 10 ila ka mwendo
 
Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Natamani kukutukana ila Mungo tu anisamehe, umeandka maelezo marefu kukosoa na kukanusha kilichoandikwa ila hujatupa jibu sahihi. Sasa hapo ndo umefanya nini?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Mkuu kilometa 15 zinafika kwa kujibu wa waziri Mkuu
 
Attachments

  • WAZIRI_MKUU_AZUNGUMZIA_MGOGORO_WA_STENDI_YA_MABASI_YA__SONGEA(360p).mp4
    5.6 MB
Labda nikupe ushauli siku ukitaka kusafiri nenda alfajiri stend ya zamani hua kuna vigari vidodogo nauri 3000 mpaka 4000.
Sasa huoni huo ni ujinga,pale stendi wakiruhusu kupakia wanapata Zambi?kisha waende huko shule ya tanga?
 
Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa mpaka stand ni kilomita 15. That means kuna watu along mbamba bay Road wanaweza kufikisha kilomita 20 kirahisi kabisa.
 
Nimetumia 2,000 kufika Mjini badala y 400. Total itakuwa 4000 na kurui home. Naona magari na maduka wamekaza HD sasa. Nafikiri itasaidia wakija vikao watapata suluhu. Ila ubabe mwingi mno kwa kweli. Mwananchi Si kitu tena
 
Halmashauri ya Manispaa ya Songea wametoa tishio la kunyanganya vibanda kwa wafanyabiashara wa soko kuu watakaoendelea kufunga biashara zao....Wametoa muda wa masaa 24 maduka ya soko kuu yawe yamefunguliwa..Sasa kuna sheria inayoweza kumlazimisha mfanyabiashara afungue duka lake what if kama nimesafiri au nimeamua kupumzika sitaki kufungua biashara yangu
 
Nimetumia 2,000 kufika Mjini badala y 400. Total itakuwa 4000 na kurui home. Naona magari na maduka wamekaza HD sasa. Nafikiri itasaidia wakija vikao watapata suluhu. Ila ubabe mwingi mno kwa kweli. Mwananchi Si kitu tena
Mkuu wa mkoa kapigiwa sana simu kumwomba wakae pamoja na wafanyabiashara waongee ili watatue matatizo yaliyopo,hakutokea hata siku moja
 
Serikali inawatesa wasafiri stendi imewekwa mbali na mji last month nlisafiri huko mtu ukitoka mbinga unashuka mbali huko then uchukue daladala na asubuhi kwenda stand ni mbali bodaboda zinakimbizana hali inayopelekea kuhatarisha maisha ya abiria
 
Back
Top Bottom