Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Afazali ingekua ya matope ipo kidogo mjin iyo mpya ipo mbali uko porini ili watanue mji eti
Pale wamefeli mji hupangwa na kutanuka wenyewe,kule mkuzo walipeleka nini mbona kumekuwa namna ile,namanditi kule walipeleka kitu gani nako kuna kuwa kwa kasi!
Wana sumbua abiria usiku Wana shushwa kule ilihali basi linaelekea mjini ambako abiria nao wanelekea huko!!
 
Kukiwa na ongezeko steady la watu ni sawa.. ila kama population inaongezeka kwa kusuasua.. move kama hii inaua Mji.. shughuli za usafirishaji ndizo zinachangamsha miji mingi midogo na ya kati.

Ukiondoa transportation node.. Mji unazima na biashara zinapwaya... Kabla ya move kama hizi lazima kuwe na study kupima impact yake.

Tatizo wakurugenzi wengi wanakimbilia unafuu wa ardhi ya kulipa fidia.. na hawaoni umuhimu wa kuboresha huduma hizi kwa maeneo zilipo kwa sasa..

Wenzetu nje huko huduma hazihami HOVYO HOVYO... Maana zinimpact kubwa kwenye spatial development pattern ambayo inaathiri gharama za kuishi ndani ya mji na kuathiri uwekezaji mwingine wowote uliofanya kwa kuzingatia uwepo wa huduma kama stand.
Ndicho kinacho tokea sasa songea mji una zorota,ana kuja mtu eti anasema ni kawaida kwa Songea biashara kuzorota wakati wa masika sijui hiyo nadhalia yake aliitafakari kabla ya kutoka hadharani na kupanua kinywa chake!! Kwanini isiwe masika ya mwaka jana au mwaka juzi na iwe mwaka huu wafanya biashara wapaze sauti?
 
Pale wamefeli mji hupangwa na kutanuka wenyewe,kule mkuzo walipeleka nini mbona kumekuwa namna ile,namanditi kule walipeleka kitu gani nako kuna kuwa kwa kasi!
Wana sumbua abiria usiku Wana shushwa kule ilihali basi linaelekea mjini ambako abiria nao wanelekea huko!!
Ndo ajabu iliyoje hapa. Yaan kero tupuuh khaaah.
 
Back
Top Bottom