Afazali ingekua ya matope ipo kidogo mjin iyo mpya ipo mbali uko porini ili watanue mji etiaisee niliwah kufika kule nilishangaa sana.kuiona stend inayoitwa ya zaman ya mabus ya mikoan na hio inayoitwa mpya.
ya zaman ipo vizur inaonesha ilikua imechangamsha mji
hio ya mpya yan matope matupu giza
Kutoka mjini katiKutoka wapi hazifiki?
Kukiwa na ongezeko steady la watu ni sawa.. ila kama population inaongezeka kwa kusuasua.. move kama hii inaua Mji.. shughuli za usafirishaji ndizo zinachangamsha miji mingi midogo na ya kati.Ili kupanua mji ni sawa hizo 20 km
Ila parefu sana bhana kutoka shule ya tanga hadi town, mmmmmhPale hata kilomita 10 hazifiki
Unasemea msamala?aisee niliwah kufika kule nilishangaa sana.kuiona stend inayoitwa ya zaman ya mabus ya mikoan na hio inayoitwa mpya.
ya zaman ipo vizur inaonesha ilikua imechangamsha mji
hio ya mpya yan matope matupu giza
Ni changamoto maeneo mengi sana... Miji inapanuliwa bila umuhimu wowote..Songea hakuna ongezeko wala population kubwa, nashangaa sana stand kupelekwa mbali vile, halafu sasa abiria anayetoka njia ya Dar, analazimika kushuka pale then achukue usafiri mwingne had town centre, tena km ni usku tabu tupu.
Serikali iliangalie hili kwa jicho pana, wanaoumia ni wananchi wa kawaida.
Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Labda nikupe ushauli siku ukitaka kusafiri nenda alfajiri stend ya zamani hua kuna vigari vidodogo nauri 3000 mpaka 4000.Shida mtu anae ishi ruhuwiko akitaka kusafiri kwenda dar anatakiwa alipe nauli asubuhi ya pikipiki 15000 ili afike stendi iliyopo shule ya tanga, maana stendi nyingine zote hawaruhusiwi kupakia