Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
wizi wote ktk idara za serikali, taasisi n.k umebainishwa ktk ripoti ya CAG kinacho takiwa na kila mtendaji ktk serikali wakiongozwa na waziri Mkuu, mawaziri kufuatilia kwa karibu mianya ya ukaribu.
Kakoko aliwahi kutuambia kwenye kikao kimoja hivi,yeye anapokea maelekezo ya Magufuli, Waziri Mkuu hana lolote analoweza kumuagiza. Toka siku hiyo nikampuuza Kassimu