Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,130
- 5,034
Au sio!πSafi sana kwa taarifa nzuri. Kuna watu watakimbia humu
π πHaha haaaaa..... eti mzima na anachapa kazi...
Au sioo!Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Hivi alinyoosha?Mjomba wangu ni afisa kipenyo mwandamizi kuna jambo zito kaniambia.
Waziri mkuu kama anabisha amwambie Magufuli anyooshe kidole juu ama afanye kama anajikuna halafu apigwe picha.
Kwema ndugu yangu!?Mungu mwepushe na Hilo janga wanalomwombea wabaya wa nchi ili akamilishe mazuri aliyoanza ili Tanzania iwe Kama Amsterdam, Tundu akimbilie uhamishoni huku Tanzania palipokuwa nchi yake ya awali
Huyu alopost atakuwa ndo afisa kipenyo mwenyeweHivi alinyoosha?
Jpm yuko fitikweli JPM,ni zaidi ya master.naona BAVICHA wanavyokimbia.kejeli kwisha,matusi kwisha.
Watu pigeni kazi.jpm yuko fiti.
Hapa kazi tuRais John Joseph Pombe Magufuli piga kazi kuwaletea na kuwajengea misingi imara ya kimaendeleo Watanzania nilichogundua Watanzania wanampenda sana Rais wao kiasi cha kutokumuona wala kumsikia ndani ya wiki kila mmoja amekuwa hana raha kwa kuwa wameshazoea kumsikia akiwapa maagizo wateule wake na kutatua kero za wananchi.
Kwa dalili hizi ni kipimo cha mapenzi kilichopitiliza najua wenye account fake wakiwa peke yao au kwenye vikao vyao wanazungumzia muziki mnene wa mtetezi wa wanyonge.
Tuendelee kumuombea kwa Mungu raisi wetu azidi kuwa na afya njema na amuepushe na wenye husuda na roho mbaya ili aweze kutekeleza yale yote aliyo ahidi kipindi cha kampeni kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Raisi wetu wananchi wamekumiss na wanakupenda sana muda utakaonekana ama hakika watashangilia kama kumefungwa goli uwanja wa taifa!
Hapa kazi tu, tusisahau kufuata muongozo wa wataalamu wa afya Covid19 ipo!
Mzee wa "unspecified reports" kwema?Hivi huyo mama kazi yake ni kutuletea speculation, unspecified reports. Huyo mama na Lissu wanapenda speculation na unspecified reports kuwa viongoz wetu wanaumwa. Hayo ni maisha mabovu. Speculation zinaweza kusababisha ukatengana na mke. Sasa wamepata report kamili kutoka kwa mkuu, watulie.
Uyo
#Wewe ni bure na roboUvumi umeuanzisha wewe halafu unataka Rais aache majukumu yake aje ayakanushe? Wewe ni bure na robo ^tar-twoΒ‘^
πππππKama kuna kipindi Tundu Lissu ataumbuka basi ni mara hii
And life goes on like nothing happened.Hawezi kufa. Unakufa kama huna kazi za kufanya, huyu hajaimaliza kazi bado.
Hahaha umefufuka kwa kasi sanaKwa hiyo leo Samia hajaonekana May 1 .Ndo mmefufua huu uzi?
βhata asubuhi nilivyokuwa natoka Dodoma nimempigia kumjulisha ratiba yangu, hata juzi alikuwa anajua ninakuja akanituma, wasalimie wana Njombe na nilitoa Salam.β
Contradictory
Nani sasa anaepiga kiwi nyeusi kichwani ??.Ukiona mzee anapiga kiwi nyeusi kichwani ujue huyo ni zero brain