Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

Unajuaje katoa kauli ya uongo bila kujitambua na hajadanganya kwa kudhamiria?

Waziri Mkuu ni mjinga?
Hapana waziri Mkuu sio mjinga, ila sasa unafanya niwe na wasiwasi na wewe. Title ta thread inasema amekosea, sasa kama amekosea kwa kutodhamiria au kwa makusudi, hilo ni yeye anajua na wala sio wewe au mimi. Na suala la Waziri Mkuu mjinga? Mie nadhani ni mtu mjinga atauliza swali kama hilo, kwa sababu kukosea sio ujinga.
 
Waziri Mkuu ni mjinga kiasi cha kudanganywa kirahisi hivi na wasaidizi wake?

Hajui hata ku Google kujiridhisha kuhusu data anazoipa dunia kuhusu Tanzania?
 
Waziri mkuu hakukosea,wewe ndo hukumuelewa..unapomsikiliza mtu ebu jaribu kumuelewa yeye alikuwa anazungumzia usambazaji wa umeme in rular areas,usambazaji wa umeme vijijini ...
 
Katika Swala la umeme mimi sitajali izo takwimu ila tu natoa kongole kubwa sana kwa awamu hii haswa kasi ya usambazaji umeme wa REA hatukatai REA imekuwepo tangu enzi za kikwete ila kwa sasa iko speed sana tembeeni vijijini muone ata ile asilimia tatu wanayonikata REA kila nikinunua umeme bado naona ni ndogo, Kongole kwa Jp magufuli, PM majaliwa na Minister Kalemani
Mkakati wa umeme....ilianza enzi za Mkapa,JK,huyu anamalizia ,hizi Ni Kama mbio za vijiti ....JPm Ana malizia!...mapovu ya Nini!
 
Back
Top Bottom