Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

Kesho nasikia atasema Tanzania inaongoza africa kwa kujenga vituo vya afya
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila kujitambua.

Mtu yeyote mwenye akili na busara, kabla ya kutoa kauli kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme atataka kujiridhisha juu ya viwango vya kusambaza umeme vya nchi kama South Afrika, Botswana, Morocco, Egypt, ili usije ukatoa kauli ambayo watu wenye uelewa watakubeza.

South Africa hadi sasa kiwango cha kusambaza umeme nchini ni asilimia 91.2%. Misri na Morocco wao wanadai kiwango chao cha kusambaza umeme ni 100%. Mauritius wana kiwango cha 98%, Ghana wana 83%. Sasa labda Waziri Mkuu atueleze inakuwaje 80% ya Tanzania ni kubwa kuliko 91.2% ya Afrika Kusini, 83% ya Ghana, 98% ya Mauritius, au 100% ya Misri na Morocco?

Si mara ya kwanza kuona viongozi wetu wakitumia takwimu zisizo za kweli ili kuisifia Tanzania. Kuna wakati kiongozi mmoja alitamba kwamba SGR yetu itakuwa na treni ya kasi ya juu zaidi katika Afrika kwa spidi ya 150-170kmhr, wakati Morocco tayari wana treni zenye spidi zaidi ya hiyo.

Ni vema kuisifia nchi yetu, lakini acha tuisifie nchi yetu kutokana na takwimu za kweli badala ya propaganda za kisiasa.

Chanzo: PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umeme
 
Na hiyo asilimia 80% wanabase kwenye area lakini ukienda Kwa population bado tuko chini ya 80%. Wanasiasa na watalaamu wetu hukuza takwimu za uongo tu. Ukienda vijijini wenye huduma ya umeme maeneo mengi hawafiki 20%
 
PM alikuwa sahihi kabisa sema uelewa wa watu ndiyo tatizo. Ni kwamba hakuna nchi yeyote Afrika inayoifikia Tanzania katika kasi ya ongezeko la usambazaji wa umeme kwa sasa yaani kutoka vijiji 3000 mwaka 2015 hadi vijiji 9000 mwaka 2020. Kwa lugha rahisi hakuna nchi yeyote iliyounganishia wanachi wake kwa ongezeko la vijiji 6000 kwa muda wa miaka mitano kutoka 2015 hadi 2020.
Kwa hiyo hoja ni vijiji na siyo population ya watu wanaopata huduma.
Hakuna mtaalamu yanaweza kutoa data hizo mara zote data za population hutoa majibu sahihi. Huo ulinganifu wa vijiji bila kujali coverage kwa kila kijiji ni upotoshaji Sana.
Data nyingi zinapikwa ili kumbeba mshikaji.
 
Kenya tu hapo wanatuzidi usambazaji wa umeme tangu enzi za Mkapa. Kaangalie Nairobi na Dar usiku na pita barabarani vijijini utaona tofauti. Haihitaji takwimu.
 
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila kujitambua.

Mtu yeyote mwenye akili na busara, kabla ya kutoa kauli kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme atataka kujiridhisha juu ya viwango vya kusambaza umeme vya nchi kama South Afrika, Botswana, Morocco, Egypt, ili usije ukatoa kauli ambayo watu wenye uelewa watakubeza.

South Africa hadi sasa kiwango cha kusambaza umeme nchini ni asilimia 91.2%. Misri na Morocco wao wanadai kiwango chao cha kusambaza umeme ni 100%. Mauritius wana kiwango cha 98%, Ghana wana 83%. Sasa labda Waziri Mkuu atueleze inakuwaje 80% ya Tanzania ni kubwa kuliko 91.2% ya Afrika Kusini, 83% ya Ghana, 98% ya Mauritius, au 100% ya Misri na Morocco?

Si mara ya kwanza kuona viongozi wetu wakitumia takwimu zisizo za kweli ili kuisifia Tanzania. Kuna wakati kiongozi mmoja alitamba kwamba SGR yetu itakuwa na treni ya kasi ya juu zaidi katika Afrika kwa spidi ya 150-170kmhr, wakati Morocco tayari wana treni zenye spidi zaidi ya hiyo.

Ni vema kuisifia nchi yetu, lakini acha tuisifie nchi yetu kutokana na takwimu za kweli badala ya propaganda za kisiasa.

Chanzo: PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umeme
Mbona TBC hutuonesha treni yetu ya SGR inavyochanja mbuga! Tumewazoea ndivyo walivyo.
 
sijali kuhusu takwimu, najali hasa kilichofanyika uko mavijijini (REA) , umeme kama wote
processing mills zilizokua zinatumia Diesel sasa zinatumia umeme kupunguza gharama za uendeshaji,

unataka ufanyiwe nini hasa wewe mtanzania usiekua na shukrani ?
Kwahiyo hichi kinachofanyika kwa sasa ni hisani.lkn pia hoja iliyopo mezani ni kuhusu kauli ya PM kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa usambazaji umeme.
 
Mbona TBC hutuonesha treni yetu ya SGR inavyochanja mbuga! Tumewazoea ndivyo walivyo.
Umeona Morocco wakionesha yao ikichanja mbuga kwa spidi ya 320km/hr? Kabla hatujaanza kujisifia na uzuri wa bamia zetu, tuangalie bilinganya za wengine!
 
Kwanza atwambie kama nchi hizo nyingine anazosema TZ imezishinda zilikuwa zinajua kuwa tunashindana katika hili. Maana kujitapa kuwa umeshinda mtu ambaye hata hakujui, ni ukichaa fulani.
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila kujitambua.

Mtu yeyote mwenye akili na busara, kabla ya kutoa kauli kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme atataka kujiridhisha juu ya viwango vya kusambaza umeme vya nchi kama South Afrika, Botswana, Morocco, Egypt, ili usije ukatoa kauli ambayo watu wenye uelewa watakubeza.

South Africa hadi sasa kiwango cha kusambaza umeme nchini ni asilimia 91.2%. Misri na Morocco wao wanadai kiwango chao cha kusambaza umeme ni 100%. Mauritius wana kiwango cha 98%, Ghana wana 83%. Sasa labda Waziri Mkuu atueleze inakuwaje 80% ya Tanzania ni kubwa kuliko 91.2% ya Afrika Kusini, 83% ya Ghana, 98% ya Mauritius, au 100% ya Misri na Morocco?

Si mara ya kwanza kuona viongozi wetu wakitumia takwimu zisizo za kweli ili kuisifia Tanzania. Kuna wakati kiongozi mmoja alitamba kwamba SGR yetu itakuwa na treni ya kasi ya juu zaidi katika Afrika kwa spidi ya 150-170kmhr, wakati Morocco tayari wana treni zenye spidi zaidi ya hiyo.

Ni vema kuisifia nchi yetu, lakini acha tuisifie nchi yetu kutokana na takwimu za kweli badala ya propaganda za kisiasa.

Chanzo: PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umeme
 
Sawa tumekuelewa. Kwa hiyo Wamisri wakila majongoo ni sawa waziri wetu mkuu kula majongoo. Kama kudai ni hoja angedai Tanzania tumefikia 105% basi ili tuwazidi wengine waliodai ndio aseme tunaongoza. Una akili kweli wewe.
WEWE ndio umeleta habari za Wamisri na Morocco wanadai wana umeme 100%.

Yani unajenga hoja ya kutulinganisha na wengine au kupinga data za Tanzania kwa habari za kudai, yani we mwenyewe huna hakika nazo. Mimi ndio nikuulize wewe, we ni chizi nini?
 
Kama unaona habari za kudai sio halali basi anza na Raisi Magufuli anaedai hakuna Corona nchini. Mbona sijaona ukimuuliza ushahidi uko wapi?
 
You can't prove a negative.

Anaesema Corona ipo ndio atoe ushahidi wa kutuonyesha wagongwa na watu kufa.

Hakuna mtu anakufa na Corona Tanzania, don't be ridiculous.
 
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila kujitambua.

Mtu yeyote mwenye akili na busara, kabla ya kutoa kauli kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme atataka kujiridhisha juu ya viwango vya kusambaza umeme vya nchi kama South Afrika, Botswana, Morocco, Egypt, ili usije ukatoa kauli ambayo watu wenye uelewa watakubeza.

South Africa hadi sasa kiwango cha kusambaza umeme nchini ni asilimia 91.2%. Misri na Morocco wao wanadai kiwango chao cha kusambaza umeme ni 100%. Mauritius wana kiwango cha 98%, Ghana wana 83%. Sasa labda Waziri Mkuu atueleze inakuwaje 80% ya Tanzania ni kubwa kuliko 91.2% ya Afrika Kusini, 83% ya Ghana, 98% ya Mauritius, au 100% ya Misri na Morocco?

Si mara ya kwanza kuona viongozi wetu wakitumia takwimu zisizo za kweli ili kuisifia Tanzania. Kuna wakati kiongozi mmoja alitamba kwamba SGR yetu itakuwa na treni ya kasi ya juu zaidi katika Afrika kwa spidi ya 150-170kmhr, wakati Morocco tayari wana treni zenye spidi zaidi ya hiyo.

Ni vema kuisifia nchi yetu, lakini acha tuisifie nchi yetu kutokana na takwimu za kweli badala ya propaganda za kisiasa.

Chanzo: PM: Tanzania ya kwanza Afrika kusambaza umeme

Njaa ni mbaya mno mkuu. Mwulize paskali atakwambia.

Teuzi baba mengine haya ni porojo tu.
 
Unajuaje katoa kauli ya uongo bila kujitambua na hajadanganya kwa kudhamiria?

Waziri Mkuu ni mjinga?
 
Aaah kumbe ulikuwa unajua ulitaka kunisahihisha Mkuu?

Cabo Verde, also called Cape Verde, country comprising a group of islands that lie 385 miles (620 km) off the west coast of Africa. Praia, on Santiago, is the capital.
Tofauti ya Kireno na Kiingereza.

Kama Côte d'Ivoire(Kifaransa) na Ivory Coast (Kiingereza).

Hata Msumbiji kuna mji unaitwa Cabo Delgado.

Mkosoaji kakosolewa.
 
Back
Top Bottom