Waziri Mbarawa apata ajali Geita

Waziri Mbarawa apata ajali Geita

....

.....Dadadek nakatisha Karatu vijijini ....Ford Ranger ya M4C watu wanaishangilia ....Hard top ya magamba watu HAWANA HABARI NAYO ...

....stay tuned on www.jamiiforums.com
 
Hata mkimuombea kifo kumbuken hamna binadam mwenye makao ya milele hapa duniani... Mungu awape siha njema
 
Kwani Al-Shabaab in roho..?

Waziri mwenyewe ukimuuliza atakuambia leo uisku atakuwa kakabidiwa vichuchu sealed 72, kazi kwake kukimbiza kutoboa seal huku inarudi, kazi kwake hadi azidi kasi ,rate ya kurudia seal.

Anaweza kuwa alikuwa akisubiri sana kifo..huku duniani unafiki wa uzinzi, kinywaji hata glass moja na mademu chini ya 4 ni tuu issue.....

kazi kweli kweli
 
Hivi huyu Waziri si ni Mzenji ama ?, ni Mbunge wa Jimbo gani ?
 
haki na usawa na mshahara mnagawana au mnatumia cv moja?

Mkuu hapa sio suala la Magamba na Magwanda bali ni Tunazungumzia haki ambayo kila Mtanzania anatakiwa kupewa na sio chuki kulingana na chama chake.
 
Mwenye kujua Kama waziri mzima au Kadedi atujuze naona wengine wanasema apone haraka wengine RIP,
Sielew elew
 
wafe tu magamba hawana maana. na wafe tu.

huna tofauti na alshabaab wakat mbowe anapokea hesabu bilcanas leo na ndesamburo anapikea mauzo ya bia keys hotel moshi wakiwa kwenye kioozi unatakiwa uwe nyumban unatafakari na mke wako kuwa mtapata wapi ada ya mtoto si kunywa vroba uzeeke madkn watoto wako wakiwA hawana mwelekeo wa maisha
 
Inaniuma sana. Kumbe kiajali chenyewe kilikuwa kidogo tu. Yaani hakuna hata mtu aliyevunjika hata kiuno.
 
Tumshukuru Allah kama wametoka salama katika ajali na majeraha ni kawaida ila
Upendo umeisha kwa Watanzania mtu kapata ajali mwombee apone usiombe afe maana wewe hutakaa katika nafasi yake bali atawekwa wa asili yao

Tumwombee kwa Allah apone na aendelee na kazi maana asiyejua ajali ataongea lolote katika ajali ila kama amewahi kuhusika katika ajali asingesema ovyo hata kidogo

kauli zao za kifedhuli ndo zinawaponza,wanasema heri tule nyasi,ili ndege ipatikane,ndo hayo hakuna awapendae
 
Waziri Mzanzibar anatafuta nn bara? Anyway pole sana waziri
 
Ni breaking news ya radio one stereo.
Dereva wake ajeruhiwa, pamoja na meneja wa TTCL kanda ya ziwa.

Hali ya waziri mwenyewe haijatajwa kama amejeruhiwa ama yuko salama.

Ajali hiyo imetokea mkoani Geita wakati gari iliyombeba waziri Mbarawa ilipogongwa na basi lililokuwa linatokea mkoani Kagera kwenda Mwanza.

Msafara wake ulikuwa unaelekea mkoani Kagera ambapo waziri alikuwa anakwenda kukagua mkongo wa Taifa.

Kiongozi!

Mimi nilidhani umeleta habari za R.I.P kumbe bado wanapumua!!! Tuwaombee wakapumzike kwenye moto wa milele kama ambavyo wanaendelea kututesa waTanganyika.
 
Wapigwe tu sasa nimechoka!nawao nawafe tu sar GOD Anaona wanavyo zulumu wanyonge
 
Back
Top Bottom