MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,369
Ni kawaida yenu hata ajali ya Chacha Wangwe si mulifurahi
chacha wangwe hapa hahusiki.
Tena mfe maccm, mnatuambia eti matibabu bure kwa watoto chini ya 5 yrs na wazee zaidi ya 60yrs, juzi nimempeleka mtoto wangu wa miaka miwili naambiwa dawa hakuna kanunue famasi huku nyie magamba mkimbilia india na uingereza kutibu malaria, NANI ATAWAPENDA KWA TABIA HII YA KUUA.
tena angekufa.