Itikadi za ki Alshabaab
Sioni tofauti kati ya Chadema na Alshabaab, labda tu ni mirungi na viroba
Jimbo gani wakati ni mbunge wa kuteuliwa, teh teh teh, viroba hatari.Jimbo lipo wazi tayari....?
Akili za Bavicha bana, kwa hiyo unaomba CCM wote wafe wabakie Chadema, teh teh teh!mimi niliomba awamalize kwa vifo, ili b4 2015 waone wenyewe bunge linavyokuwa na sura ingine..nina hofu muda umepita sana..Mungu akianza jibu wanaweza kufa hadi CCM waogope na kudai CDM wanawaloga..
mimi niliomba awamalize kwa vifo, ili b4 2015 waone wenyewe bunge linavyokuwa na sura ingine..nina hofu muda umepita sana..Mungu akianza jibu wanaweza kufa hadi CCM waogope na kudai CDM wanawaloga..
Grow up! CHADEMA inaingiaje hapo?
BTW:Nawatakia majeruhi nafuu ya Haraka.
Kwa kuwa hawajaeleza hali yake basi inawezekana ame RIP,
ila bado wanatafuta mkandarasi wa kupitisha greda kwa njia ya kwenda kwake kwa maziko.
Jamni hajafa huyu waziri?? Nasikitika. Maana sisi tunaopanda mabasi hawatuandalii hata uokoaji?? Angaetangulia ingekuwa poa.
Tumshukuru Allah kama wametoka salama katika ajali na majeraha ni kawaida ila
Upendo umeisha kwa Watanzania mtu kapata ajali mwombee apone usiombe afe maana wewe hutakaa katika nafasi yake bali atawekwa wa asili yao
Tumwombee kwa Allah apone na aendelee na kazi maana asiyejua ajali ataongea lolote katika ajali ila kama amewahi kuhusika katika ajali asingesema ovyo hata kidogo
Who is ALLAH?
Itikadi za ki Alshabaab
Sioni tofauti kati ya Chadema na Alshabaab, labda tu ni mirungi na viroba
Waziri Mzanzibar anatafuta nn bara? Anyway pole sana waziri
ingependeza sn kama magamba yangepungua
tumshukuru allah kama wametoka salama katika ajali na majeraha ni kawaida ila
upendo umeisha kwa watanzania mtu kapata ajali mwombee apone usiombe afe maana wewe hutakaa katika nafasi yake bali atawekwa wa asili yao
tumwombee kwa allah apone na aendelee na kazi maana asiyejua ajali ataongea lolote katika ajali ila kama amewahi kuhusika katika ajali asingesema ovyo hata kidogo