Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,478
- 283,865
amenusurika au kafa ? Hata kama kafa huna mamlaka ya kusema rip , unatakiwa useme roho yake iwekwe mahali inapostahili , unazijua dhambi zake ?
Mimi nitasaidia kwa hali na mali atakayesimama kutokea CDM...nasubiri kwa level karibu ile ya kumsubiri Masih ....halafu sipendi wazenj wanapitapita mitaa ya Tanganyika km mawaziri wakati hata masai tuu kule zenj hatembei kwa raha bila hata kutaka uongozi.hawajasema kama kaukata ama laah ngoja tusikilizie unataka ukachukue jimbo nico..
wish u better!
Wabeba sumu utawaona tu
sasa mkuu anaepumzika niyule aliekufa tu!?
Ndio maana mnamalizana sana huko kwenu siku hizimimi nabeba bastola..unaongelea sumu ipi ya baruti ndani ya risasi?
Tumshukuru Allah kama wametoka salama katika ajali na majeraha ni kawaida ila
Upendo umeisha kwa Watanzania mtu kapata ajali mwombee apone usiombe afe maana wewe hutakaa katika nafasi yake bali atawekwa wa asili yao
Tumwombee kwa Allah apone na aendelee na kazi maana asiyejua ajali ataongea lolote katika ajali ila kama amewahi kuhusika katika ajali asingesema ovyo hata kidogo
Ndio maana mnamalizana sana huko kwenu siku hizi
amenusurika au kafa ? Hata kama kafa huna mamlaka ya kusema rip , unatakiwa useme roho yake iwekwe mahali inapostahili , unazijua dhambi zake ?
Si nasikia hawalazi......au watalaza ili awe chambo ya kupiga kampeni kwa magamba...Mazishi lini wakuu? Tuna bajeti ya kuzika viongozi! Pumzika unapostahili mh.Waziri...........
Si ndio hapo mkuu!Mkongo wa Taifa umeanza kufanya kazi lini maana mpaka leo mitandao ya simu katika internet inasumbua sana na gharama zimepanda mara dufu wakati wakitandaza walisema mtandao utakuwa wa haraka sana na utapunguza gharama sasa sijaona faida yake
wafe tu magamba hawana maana. na wafe tu.
kweli mkuu watanzania wamekuwa na roho kama ya al-shabaab
lakini waswahili hao hao wanasema usilipe baya kwa baya
tumuombe ndugu yetu apate kupona tuache kumuombe mabaya
Kwani Al-Shabaab in roho..?Kweli Mkuu Watanzania wamekuwa na roho kama ya Al-shabaab
lakini Waswahili hao hao wanasema usilipe baya kwa baya
Tumuombe ndugu yetu apate kupona tuache kumuombe mabaya
Mkongo wa Taifa umeanza kufanya kazi lini maana mpaka leo mitandao ya simu katika internet inasumbua sana na gharama zimepanda mara dufu wakati wakitandaza walisema mtandao utakuwa wa haraka sana na utapunguza gharama sasa sijaona faida yake