johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1.
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000
Source ITV Dakika 45
Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia.
===
Soma hapa ufafanuzi wa gharama kutoka TANESCO Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000