Namuomba Rais ampe Mabilioni ya kutosha Waziri Makamba au amtimue ili huu mgawo umeme wauishe

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kwa uzoefu tu hii itilafu ya mitambo ya umeme Ni yakutengeneza na TUTEGEMEE TANESCO NA WAZIRI KUJA NA DILI NONO LA KUPIGA MABILIONI YA PESA.

Tanesco ndio kampuni kinara la kuandaa Miradi ya dharura ya kupiga ela ndefu kabisa kupitia itilafu za kutengeneza na kubuni miradi ya dharura.

1. Iptl ulikuja Kama mradi wa dharura uliyoinyonya Tanesco vya kutosha yani ata mitambo ikizimwa tu ilikuwa lazima waendelee kulipwa ma bilion.

2. Uwanja wa Taifa juzi wakawa wanaziwekea itilafu taa na kuzimika kwenye mechi kubwa mama akawawekea bilion 30 wabadili na viti kabisa.

3. Escrow account bilion zaidi ya 300 za Tanesco zikapigwa.

4. Richmond tuliambiwa mabwa hayatajaa ata miaka 10 mvua inyeshe mfululizo. Yakajaa baada ya mvua ya miezi 3tu na Richmond washakula Chao.

Najua kupitia uzoefu tutazimiwa umeme mpaka Mama ampe makamba MABILIONI ya kutosha na yeye abuni kimradi Cha dharura. Hii nchi kupiga ela Ni rahisi Sana arabuni kimradi atapata kimgao mpaa watuuu watakula
 
Back
Top Bottom