Waziri Makamba ameanza rasmi project alizotumwa TANESCO

Waziri Makamba ameanza rasmi project alizotumwa TANESCO

Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.

My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.

Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.

Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.

Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Mkiambiwa jk ndo yuko magogoni ssh yuko chamwino mnabishaa...hayaa kaz kwenu. Miaka ya kupotezaa imeeanzaa rasmii
 
Uzi mzima umejaa misukule ya Jiwe yenye majungu na chuki za wazi dhidi ya Makamba. Hakuna hata aliehangaika kujiuliza au kuuliza huo mfumo unafanyaje kazi, faida na hasara zake ni zipi badala yake mnakaa kutiana ujinga tu.
Wao ndo wanatakiwa kueleza siyo mpqkq watu wahoji. Huo ndo utawala bora wanao uhubiri.
 
Aiseee dollars 30 mil na mkataba hata Bunge haijui undani wake? Ooohhh, hii tanesco Mungu tusaidie. Mzee Ndugai uko wapi? Mbona kimya kuhusu Tanesco, umeona huo mkataba? Hizo fedha nyingi sana, ni wa nini huo mkataba?

January ni kuwa nae makini sana, atapiga madeal sana huyu, jamani, jamani, jamani
 
Lengo ni kuongeza ufanisi, kujua matatizo kwa haraka na kuyashughulikia. Kama ungekuwepo mfumo unaofanya hii kazi kwanini waulete huohuo tena?
Huo uliopo lini ilisemekana hauna ufanisi? Tunataka umeme wa uhakika sio mfumo wa kuangalia flow ya umeme!

Focus ni kuongeza umeme usambazwe nchi nzima! Sio kuweka monitoring system wakati tayari ipo
 
Kumbe Tanzania haina wasomi kwenye fani ya management mpaka kuwaagiza toka nje tena kwa gharama ya $30 milion, hawa watu hawana credibility kuongoza hizi wizara, vetting ni kujuana tu.

Naona hii ndio kazi ya kwanza Makamba aliyoshauriana na ile bodi yake mpya aliyowaweka wale watu wake, tutapigwa sana, bado mrejesho wa kule Dubai alikotoka juzi.

Hizo pesa badala zikatumike kurekebisha miundombinu ya umeme upatikane wa kutosha tuachane na biashara ya kukatika hovyo, wao wanaenda kuweka satelite ili ku-monitor jinsi unavyokatika mara kwa mara.
Yaani ni changamoto mbona hizo performance management hata watanzania wanafanya, na mfano migodi ina software zake ambazo mtu akiwa control room anaona performance ya kila equipment na hata pale inapokuwa na shida kwenye mfumo inamletea alert sasa sijajua performance gani wanaizungumzia hawa
 
Nimekuwa nafuatilia shirika hili kwa muda sasa.
Tangu makamba alipoingia cha kwanza kufanya ilikuwa kuipangua safu ya Tanesco iliyokuwepo tena yenye wataalamu wabobezi, akaweka wajumbe wasio wazoefu tena wengine kutoka Tigo.

Priority za Tanesco sio utawala kutoka nje, bali source zaidi za umeme sababu mahitaji yanazidi kuongezeka kutokana na idadi ya watumiaji kuongezeka. Ndio maana tunajenga bwawa la Nyerere.

Tungemuona mzalendo pale ambapo angeliwezesha shirika kupeleka umeme kwenye migodi mikubwa nchini ambako wangepata mapato mara dufu.

Mfano kwa mgodi wa Geita ambapo umeme upo mjini lakini umeshindwa kuunganishwa na mgodi uliopo kilomita 4 toka mjini.kwa hapo tu shirika linapoteza zaidi ya bilioni kadhaa kila mwezi.

Sijakurupuka.
Hili umeliongea sahihi sana, mahitaji yamekuwa makubwa Tanzania. Kuna migodi mipya inaanza uzalishaji hivi karibuni inahitaji umeme, kuna viwanda vikubwa na vya kati vinahitaji umeme bado hapohapo kuna matumizi ya kawaida ya majumbani lakini watu wanaenda kuweka hela kwenye kitu ambacho ni necessary but sio priority kwa sasa
 
Kazi imeanza..huku January kule maharage...huku mafuru..huku mchechu ...at last
Kwisha habari yake
Hivi Maharage ni jina la utani au ndio jina lake halisi? 😳 Kwa vigezo vya uhamiaji atakuwa mtanzania halisi huyo.🤔
 
Hahahaha
Kumbe tunaongea na muathirika wa kitu kizito cha jiwe..ndo maana povu lake si la omo tu ni mixer na foma limao
Huyu inaonekana aliangukiwa na jiwe kuu la pembeni walililolikataa waashi!😀😀😀😀
 
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.

My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.

Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.

Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.

Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Hao wataalam ndio wamesema kweli. January anawapa kumanage tanesco. Ni marudio tu ya ufisadi wa awamu ya nne. Tusisahau TRC wahindi walivyoifanya. Tusisahau ttcl wahindi walivyoifanya, tusisahau air tanzania makaburu walivyoifanya. Hawa kina january wanaingia mikataba ya kujinufaisha binafsi. Historia inaonyesha wahindi ni wazuri ukitaka kuibia nchi yako.
Mliona yale makubaliano na tony blair ya covid 19. Huko ulaya mabeberu waliandika blair kalipwa hela za kitanzania bilioni 100 eti kazi ni pamoja na kuisafisha tanzania sifa mbaya aliyosababisha magufuli.
Watanzania hakika tumeingiliwa na wapinga maendeleo. 🤔🤔
 
Salaam. Kwanza weka fact sawa. Netgroup Solutions ilikuja wakati wa Serikali ya awamu ya tatu siyo nne.

Pili, mnapojadili hoja msipende kujadili watu. Kuna tabia inakera sasa hivi; kupenda pia kumjadili kwa dhihaka Hayati Dk. Magufuli wakati hayupo duniani. Mwacheni Dk. Magufuli apumzike kwa amani. Kuna wengine wanajadili sana mzee Kikwete hata mambo ya uongo. Mwacheni mzee Kikwete apumzike. Tujadili masuala na sisi hasa vijana tukitimiza wajibu wetu kujenga Taifa.
 
Hao wataalam ndio wamesema kweli. January anawapa kumanage tanesco. Ni marudio tu ya ufisadi wa awamu ya nne. Tusisahau TRC wahindi walivyoifanya. Tusisahau ttcl wahindi walivyoifanya, tusisahau air tanzania makaburu walivyoifanya. Hawa kina january wanaingia mikataba ya kujinufaisha binafsi. Historia inaonyesha wahindi ni wazuri ukitaka kuibia nchi yako.
Mliona yale makubaliano na tony blair ya covid 19. Huko ulaya mabeberu waliandika blair kalipwa hela za kitanzania bilioni 100 eti kazi ni pamoja na kuisafisha tanzania sifa mbaya aliyosababisha magufuli.
Watanzania hakika tumeingiliwa na wapinga maendeleo. 🤔🤔
Ufisadi upi wa Awamu ya nne?

Au umekaririshwa tu?
 
Kumbe Tanzania haina wasomi kwenye fani ya management mpaka kuwaagiza toka nje tena kwa gharama ya $30 milion, hawa watu hawana credibility kuongoza hizi wizara, vetting ni kujuana tu.

Naona hii ndio kazi ya kwanza Makamba aliyoshauriana na ile bodi yake mpya aliyowaweka wale watu wake, tutapigwa sana, bado mrejesho wa kule Dubai alikotoka juzi.

Hizo pesa badala zikatumike kurekebisha miundombinu ya umeme upatikane wa kutosha tuachane na biashara ya kukatika hovyo, wao wanaenda kuweka satelite ili ku-monitor jinsi unavyokatika mara kwa mara.
Tupige yowe jamani dhidi ya january na hao waliyomtuma. Huu ndio utegemezi wa kijinga. Kwa nini hiyo shughuli wanaitwa wahindi kufanya tusifanye wenyewe. Kwa nini tutegemee wahindi kuendesha shirika letu la umeme wakati watu wapo na uwezo upo. Hawa kina january ndio vibaraka wametumwa kutuondoa kwenye reli kupambana kwenye vita ya kisaikolojia. Eti hatuwezi..kwa nini wahindi waweze sisi tusiweze? Ufisadi mtupu ndio unawaendesha.
 
Lengo ni kupunguza huo uhaba unaosema. Wanataka wajue haraka wapi umeme upo mdogo na wapi umezidi ili waugawe sawasawa tofauti na ilivyo sasa.
Hiyo system mbina tayari ipo, ilipaswa kujua kwa nini inatolewa na kuletwa hii. Hadi sasa shida sio monitoring, shida ni mahitaji ya umeme ni makubwa kuliko uzalishaji
 
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.

My take:
Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.

Yalee ya Net group solutions waliowahi kutupiga miaka ile ya JK.

Sasa tumeelewa maana ya kumtoa Kalemani.

Chanzo: ITV news jioni ya 09/11/2021.
Alieleta NET GROUP ni MR. LODI LOFA
 
Wezi wamerudi kwa nguvu na hasira. Ngoja mapambano yanaendelea. Kama wanafikiri kufa magufuli ndio wameshinda waendelee maana si muda mrefu umma watanyanyuka na kuwapiga mawe. Tanesco ilishaanza kupata faida sasa wanaingiza wezi na wanyonyaji ili wagawane ngawira.
Hata mwendazake alikuwa mpigaji ila uzuri wake aliuma na kupuliza...ila hawa wa sasa nina wasiwasi kama watakumbuka kupuliza
 
Ni hivi, jiwe alikuwa jizi ndio maana alikuwa hataki uhuru wa vyombo vya habari, na yoyote aliyejaribu kutoa taarifa za kweli alitishwa, kutekwa au kuuwawa. Alihamishia nguvu zake kwenye umeme, lakini hakuwa mtu mwenye matokeo mazuri overall.
ni kweli....aliuma na kupuliza ....ila sijui kama wa sasa watakumbuka kupuliza
 
Back
Top Bottom