Wanaweka system ya monitoring eleweni ,kukiwa na fault wao wanaona mapema sio mpaka mteja apige simu,Wire ukikatika ,transforma likibutuka ,nguzo ikidongdoka ,low & high voltage kwenye lines wanaona zote na kuzitatua mapema ,huo ndivyo ufanisi.
Hivi kwa sasa unafikiri hakuna system ya monitoring?!
Kwa taarifa yako system iliopo ni efficient na ni computerised.
Tembelea power station yoyote u
one watu wanaitwa system operators,wazoefu tena wazawa.
Kwa kiwango hicho cha
fedha kilichotajwa kwa maana ya kuboresha mifumo iliopo niamini, ni wizi mtupu.
Labda waeleze sababu za ku abandon mifumo iliopo kwa sasa.
Note, kwa sasa shida sio mifumo na watendaji, bali ni vyanzo vya nishati hio.
Kama kweli hili litatekelezwa, basi, Watanzania bado uninga ni mwingi Sana.
Tunako elekea kweli Magufuli atakumbukwa kwa mengi mazuri, Kuna moja baya ambalo pia limetutia doa, laiti angewaacha wapinzani waruke sarakasi zao angalau hata Hawa akina Marope, wezi wa mchana kweupe, wangekua na watchdog.
I regret.