Mbaya sana, kama kiwanja hakijajengwa makazi ya kudumu baada ya miaka 10, basi lazima kirudishwe wizarani kipewe wenye uwezo huo. Period..
Hawa wazee walikuwa na hela miaka ya nyuma wakakusanya viwanja sasa hela zimeisha wamebaki na masononeko na kuuza hawatakiWatuuzie tu...... Watu tunahangaika kutafuta maeneo kibaha huko halafu mtu ana eneo bunju anazingua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viwanja unavikuta tangia unanunua, unajenga, unahamia, unaoa,unazaa hadi mtoto anaenda shule.Mbaya sana, kama kiwanja hakijajengwa makazi ya kudumu baada ya miaka 10, basi lazima kirudishwe wizarani kipewe wenye uwezo huo. Period..
Hapo ndio shida inapoanziaShida wenye maeneo hayo ni wazazi wa watunga sera
Sema nenoNo comment
Lakini si yako maeneo Tengefu ya wazi na ukanda wa kijani kwa ajili ya shughuli hiyo ya upumuaji wa mji!? Hawa wanaomiliki maeneo yaliyopangwa kwa matumizi mengine zaidi ya Uwazi na Bustani kwann hawajengi?Sio kila eneo lazima lijengwe.Watanzania akili ndogo sana, mji utapumuaje kama kila eneo linajengwa kama mansese.Serikali isioona mbali ndio itakayoshawishi kila eneo lijengwe huku haina open space za kupumulia.Kila kiwanja kikijengwa dar, hali itakuwa mbaya zaidi ya sasa.
Compact cities are more efficient ... Kuwa na maeneo makubwa katikati ya miji kuna athari kubwa na zinamuathiri kila mtu..Ni vyema ukajitolea lile la kwako ujitolee litumike kwa matumizi ya umma. Hayo mengine yataangaliwa taratibu, wakati nyoka na kenge wakiendelea kupata hifadhi salama.
Na miji ikizidi kuwa mikubwa inaongeza gharama za usimamizi na uendeshaji ambazo zingeweza kupelekwa kuongeza mishahara na kupunguza gharama za maisha.Mishahara haijapanda kwa miaka mitano na tofali moja sasa hivi ni 1,000. Ninakumbusha tu.
Mwamba ngozi huvutia kwake,vilevile mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Mishahara haijapanda kwa miaka mitano na tofali moja sasa hivi ni 1,000. Ninakumbusha tu.
Sio kila eneo lazima lijengwe.Watanzania akili ndogo sana, mji utapumuaje kama kila eneo linajengwa kama mansese.Serikali isioona mbali ndio itakayoshawishi kila eneo lijengwe huku haina open space za kupumulia.Kila kiwanja kikijengwa dar, hali itakuwa mbaya zaidi ya sasa.