Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

Waziri Kangi Lugola ameipindua Bendera ya Taifa

Suti ya Mzee Mengi ni classic. Sasa hawa mawaziri wetu hizo suti sasa duh! Mie ningekua waziri ningekua nagonga vitu vya Woolworth tu
 
Palikuwa na kazi gani zaidi ya kushangaa ndege. Kwani yeye ni rubani? Mwenye kazi alikuwa ni jiwe ndiyo maaana aliingia mpaka chumba cha rubani na kukalia kiti ingawa hakuisogeza hata hatua moja.
Kumbuka yeye ni Waziri wa mambo ya ndani usalama wa raia waliokusanyika kuipokea ndege unamuhusu na hata usalama wa Rais pia unamuhusu bado pia yeye km waziri wa Mambo ya ndani akitoka hapo anaelekea kazini kuendelea na majukumu mengine
 
Kumbuka yeye ni Waziri wa mambo ya ndani usalama wa raia waliokusanyika kuipokea ndege unamuhusu na hata usalama wa Rais pia unamuhusu bado pia yeye km waziri wa Mambo ya ndani akitoka hapo anaelekea kazini kuendelea na majukumu mengine
Askari wa kutosha walikuwepo ikiwa ni pamoja na wale wanaoitwa wa usalama wa taifa na viongozi wao wa kutoa amri walikuwepo yeye na ilani ya CCM mkononi ndio bunduki?
 
Tumuonee huruma huyu alipata msiba wa mkewe maana mkewe marehemu alikuwa ndo dressing table yake sasa hana tena. Pole sana Kambi ya Ugoro tafuta beib basi usiwe domo zegee maana nafahamu ukiwa na mke ata sound zinaisha
 
Hoja Imeungwa Mkono

Hoja Inajibiwa Kwa Hoja
Mleta Thread Kamaliza Na Hoja Nzito Na Ya Msingi Sana Baadhi Wamekwenda Mbali
Wametuonyesha Mh Kavaa Raba 😀


Huku Akiwa Kwenye Ninja Suit 😱🙄
 
Baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amebuni vazi lake jipya ambalo amebandika bendera ya taifa kifuani upande wa kushoto, kulia na pia kwenye mikono na kama hiyo haitoshi anatembea na ilani ya CCM ambapo amenukuliwa akisema akifa azikwe na ilani ya chama hicho ya wakati huo kwakuwa kwake hakuna Ilani kama ya CCM na anapenda kutembea nayo katika utelelezaji wa shughuli za Kiserikali.

Lakini ukiangalia vizuri hilo vazi lake ni kuwa utagundua amegeuza mkao wa bendera ya taifa aliyoibandika upande wa kulia wa vazi lake ameipindua badala ya mistari ya njano na nyeusi kuelekea juu ikitokea kona ya chini upande wa kushoto kuelekea kona ya juu kulia yeye kaiweka ikitokea kona ya juu kushoto kuelekea kona ya chini kulia. Ile iliyopo upande wa kushoto ndio imekaa kwa usahihi hivyo hata hiyo ya kulia inapaswa aiweke kama hiyo ya kushoto. Haitakiwi kuigeuza hiyo bendera kwa namna yoyote ile. Amwambie fundi wake airekebishe vinginevyo anazidi kujiabisha
36836040_1940956792634972_6709772448692174848_n.jpg
Akifa kasema azikwe na ilani ya ccm. Naona kaikumbatia hata hapo alipo.
20180708_233132.png
 
Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi
Ivi jamaaa ana mke kweli, uwezi kuvaa kishamba kiasi kile. Kama ana family vile. Unawezaje? Ukatoka nyumbani umevaa vile na family ikakuacha. Utafikiri katoka kunywa matapu tapu
 
Penye wengi pana mengi, hata hii surual ni over size......
IMG_20180709_131859_453.JPG
 
Askari wa kutosha walikuwepo ikiwa ni pamoja na wale wanaoitwa wa usalama wa taifa na viongozi wao wa kutoa amri walikuwepo yeye na ilani ya CCM mkononi ndio bunduki?
Basi inatosha nikikwambia katokea kazini kwahiyo hakupata muda wa kwenda kubadilisha na kuvaa unavyotaka wewe
 
Back
Top Bottom