Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

Wamuogope kwa lipi mikia fc mapaka yamegoma ujue ,simba amemfunga lini yanga kwenye ligi ,hata huko zenji nani alichezea ,unajitoa ufahamu mbumbumbu fc
Tuacheni kubishana. Ila Yanga wajiandae kueleza kwa nini wasiadhibiwe kwa kitendo cha kugomea mechi.
 
Tuacheni kubishana. Ila Yanga wajiandae kueleza kwa nini wasiadhibiwe kwa kitendo cha kugomea mechi.
Kugomea mechi kuna chanzo. Ni nini sababu iliyotolewa ya kuahirisha mechi kinyume na kanuni zinazotambulika?
 
Ndugu popote ulipo! Serikali ipo wether kikazi au kimaisha hata kiutani. Hizo zingine eti Fifa ni maandishi tuuu. Muulize edgar tenga au Karia kuwa waliupataje urais wa TFF! Kama wakikupa jibu la ukweli! njoo nikupe mke wangu , ukae naye siku sita.
Amfanyie kazi kwa siku sita na ya saba ni yako bwana mwenye mali duh!
 
Haki izingatiwe kila mmoja awajibike kulingana na kosa yake.
Usipotoshe umma.. soma hii
IMG-20210509-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom