Waziri hawezi kuahirisha mechi kwa sababu TFF iko chini ya FIFA na siyo wanasiasa, Bashungwa anaonewa bure!

Hapa TFF wanastahili kubeba lawama zote hata kama walipewa maagizo walitakiwa kusimamia sheria na kanuni.

Nashauri Yanga na Simba waende mahakamani wadai fidia toka TFF kwa hasara waliyosababisha kwa timu, washabiki na wananchi kwa ujumla.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ndio huo.

Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.

Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.

Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.

Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Pumba za ngano
 
Rais ana pa kukwepa kabisa.

Unafikiri angekuwa hayati lingetokea hili?
 
Bongo NYOSO yani unaweza tukana matusi mpaka basi yani tunaviongozi vilaza haijawai tokea cjui huwa wanashida gani
 
Kimsingi Yanga walikosa busara kabisa siku ya leo. Ingekua ni mechi na mtibwa au Namungo wangekubali ila wamefanya hivyo kuikomoa TFF sababu ya madai yao ya hovyo. Lawama zote kwa Yanga.
 
Bashungwa ni moja ya mawaziri mizigo,mama karithi baadhi ya vimeo hiki ni kimojawapo hakika
Nakuunga mkono 100% Mh. Rais kuna maeneo bado haendi sawa.
Kuwarithi wanazi wa mwenda zake ni tatizo.
Ana takiwa kufanya reform kubwa sana kwenye serikali yake.
Aachane na sukuma gang. Wana mharibia.
 
Kama ulipata hasara mfano umenunua ticket,ulipanda ndege toka mkoani au nje ya nchi na ukalala hotel ukachukua tax unaweza ukafaili case ulipwe fidia.Kuna watu wametoka tawi la simba zambia, wengine Ujerumani hawa wanalipwaje fidia na TFF kwa maamuzi ya watu wachache
 
Angekuwepo Hayati mechi isingehairishwa na kwa sakata hili watu wangetumbuliwa kuanzia waziri na wa chini yake wote wangetembea.
Hapa ndipo nilipokuwa namkubalia Mwendazake achilia mapungufu yake.
 
Wanaoongea na kuandika haya, hawana kumbukumbu. Hebu cheki hii hapa chini
JamiiForums1450692600.jpg
 
Waandae mechi bure Hakuna kiingilio Ili kufidia ticket zetu au waturudishie pesa zetu sababu hawajatupa huduma tuliyolipia
 
Kumbe kuna "culture" ya mtiririko wa matukio ya kuvunja kanuni?

Basi, ile methali ya "...za mwizi ni arobaini...", imetimia Leo..

Leo wamekamatika....
Yanga kamuogopa Simba hakuna sababu nyingine hapo, ndio nimejua kumbe Yanga huwa hawapendi kucheza na Simba ila basi tu wafanyeje masikini.
 
Back
Top Bottom