- Thread starter
- #161
Ndo nini yaani?
Waswahili wanasema ndege wafananao huruka pamoja.
Ndo nini yaani?
waganga wa kienyeji walikuwa wanatembea kifua mbele.
Pumbavu mkubwa wewe laiyoni hujui kitu mbumbumb uSikia Chaggadema, mimi kwetu ni MARA.
Shinyanga siyo mkoa ulioko kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Mwanza na Geita.
Kwahiyo wewe unameza kila unachokiona humu JF?
Ukivaa wewe na kunawa hutapata ugonjwa badala yake hiyo misukule ndio itakayokufa sawa wewe mfuta meza anakolewa mr dj?Tukizingatia kuvaa barakoa kwa ufasaha,na kunawa mikono, Corona tutaipiga chini, tatizo nyinyi misukule ya dikteta magufuli mnapotosha ukweli, Sasa inakoendea maambukizi yakizidi, jiandae kwa Lockdown maalum ,
Mazishi wanazika wapi? Vichakani au? Mbona kwenye makaburi ya huku mitaani hatuoni?Amka asubuhi tembelea hospitali na vituo vya afya, tafuta mazishi na shiriki utapata unachotaka kukiona 'mjinga' wewe.
Mwambie afungie watu ndani sasa!Kwamba hakuna maambukizi ya Corona? Kwamba hizi taarifa na wale wagonjwa hospitali ni wa kuigiza? Mama hana roho ya kutoa watu roho, JIWE alikuwa na roho ya damu, hakujali watu kufa.
Kwenye bodaboda nipo buseresere.Umeandika kama ulikuwa kwenye boda boda na njia ni fulu mashimo.
Tokea wapi? Au tokea pande za buseresere mkuu?
Huyo waziri wa afya unamuamini kwenye hili tu?... waziri wa afya mwenye nyenzo na taarifa zote anaeleza hali halisi; anatokea fala mmoja anasema hakuna lolote! Who are you?
We matako kwani tanzania na ulaya wapi walikufa zaidi wakati wa magufuli !? Nyinyi ndiyo wale mkiulizwa kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito mnajibu " ya chuma" wazungu walivaa barakoa na madaktari bado walikufa kuliko sisi ,sasa ukiulizwa tufate njia ya mzungu lakini tufe kama wao au tusifuate tusife wewe ungechagua nini?kwa upuuzi uko nao najua ungechagua kufa kama wazunguTulipigaga kelele mambo ya magonjwa siasa isiingizwe kati.. huyu huyu kipindi cha Magu alikuwa mganga wa mitishamba. tukapoteza ndugu zetu..
Afadhali arudi kwenye taaluma yake tupambane na haka kamdudu kitaalamu kama wenzetu wanavyopambana.
... kwa hiyo wewe unampinga kwenye hili? Akili za kuzimu hizo!Huyo waziri wa afya unamuamini kwenye hili tu?
Hizo akili zenu kumbe Lisu alikimbia nazo zote?
Wanatafuta sababu na visingizio vya kushindwa kusimamia nchi ,Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.
Tutajie nchi iliyo fuata mwongozo wa wanasayansi ambayo hawa kufa kati ya nchi za wazungu... siasa ziliingia zika-braiwash watu wakadhani kwa kuwa kiongozi mkubwa kasema hakuna Corona basi ni kweli hakuna Corona. Sijui watanzania ujinga utatutoka lini tuweze kupima vitu kwa uhalisia wake na kuuona ukweli badala ya kusikiliza maneno ya wanaoitwa viongozi mengine yakiwa ya kilaghai. Ona sasa katuachia msala watu wamekuwa wajinga kabisa hata kuamini maelekezo ya wataaalamu imekuwa tatizo.
Ndiyo vizuri kinga inajitengeneza kwa kasi kwa kuambukizana hata hii covid3 baada ya mwezi ujao itakuwa imepoteza nguvu... mashuleni na vyuoni? Hawa watoto wanaambukizana huko halafu jioni wanawapelekea wazazi wao! Dah; hatari sana!
Kwani kutangaza covid na lockdown huko ulaya na USA kumewafanya wamekufa wachache kuliko tz ?Wanawake wenye miguu ya matende Kama wewe huwa hamnaga akili
Elephantiasis.Wanawake wenye miguu ya matende Kama wewe huwa hamnaga akili
Vipi; maombi yameshindwa? Mungu kapumuzika?Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi:
“Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima."
Mwenye masikio na asikie:
“Nataka hapo wananchi watuelewe, tuvae barakoa, tunawe mikono na maji tiririka pia tujiepushe na misongamano isiyo ya lazima. Katika wakati huu hakuna ulazima wa mtu kwenda katika miziki au kupanda katika gari lililojaza watu,” amesisitiza Dk Gwajima."
--------
My take:
Tahadhari zaidi maeneo hayo ikiwamo kupunguza safari zinazoweza kuepukika, kutoka au kwenda maeneo hayo ni jambo la busara zaidi.
nimefiwa na family yetu watu 4 mpaka sasa huko mwanza
Kwa nini unakataa unaushahidi?Mwongo huyu mbona hatuoni kitu? Huku hata huo umbea hamna tunasikia tu kwenye mitandao, huu ugonjwa wa kuleta mnaukuza sana. Eti walipungikiwa mitungi? Aiseee siasa mbaya.