Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
waziri wa nchi ofisi ya rais anayechughulikia utumishi amepiga marufuku mara moja watumishi KOTE NCHINI kuvaa..VIMINI,TIGHT,SURUALI,VITOP...NGUO ZENYE UJUMBE USIOELEWEKA..NA NGUO CHOKOZI ZINAZOONESHA MAUMBILE..AU NGUO ZISIZO NA MAADILI..amesema kuwa kuanzia sasa ni marufuku kwa watumishi kuvaa nguo hizo ,..
waziri hawa ghasia ambaye yeye mwenyewe tangu ateuliwe amekuwa akivaa nguo za staha kama mfano ..mara zote huvaa HIJAB ,,..anaongoza kwa vitendo..

Na suala la kutolipa bili ya maji nayo ni kuongoza kwa vitendo??waziri hawa ghasia ambaye yeye mwenyewe tangu ateuliwe amekuwa akivaa nguo za staha kama mfano ..mara zote huvaa HIJAB ,,..anaongoza kwa vitendo..
Nadhani makampuni na office husika zinatakiwa kusema what is the dress code, kazi nyingine watu wanavaa casual, na nyingine serious professional. Sasa huyu mama anapojidai headmaster hapo ndio ninapobaki mdomo wazi.
Are you guys kidding me? Where is she coming from? Zamunda? We living on different world, you cant control all the people all the time. I think this need to be resolved in individual company basis. Nadhani makampuni na office husika zinatakiwa kusema what is the dress code, kazi nyingine watu wanavaa casual, na nyingine serious professional. Sasa huyu mama anapojidai headmaster hapo ndio ninapobaki mdomo wazi.
tatizo liko wapi?
yeye kaeleza nasimamia sheria ya mwaka 1961 ambayo9 haijabadilishwa tatizo nn?
kama kuna tatizo kwenye sheria zungmzieni sio kumtusi yeye kwa uvaaaji wake au dini yake.
hiyo sheria hajaitunga yeye ila kaona kutokana na hali inavyokwenda kuna haja ya kuifata sheria hiyo kwisha
i conquer with u mtu wa pwani issue ni rahisi sana.Kama watu hawataki sheria ya zamani waseme.