Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Je ni tatizo sawa na alilonalo Jiwe? Jk hajawahi kujigamba kuwa ni msomi, so yeye hata kama atakosea na kuongea broken watu hawana shida naye kwani hajigambi kuwa ni msomi, tatizo ni huyu PhD holder aka Jiwe
Haya yote ni mahangaiko ya matumaini kwamba labda rais akizozwa, baadaye ataruhusu waibe kidogo. NEVER! aliye na kazi halali, alipwe halali. Awamu ya kutembea ukiningíniza fungua za gari ili upate heshima hata kama kichwani hakuna kitu, ilikwisha.

Munalazimisha kiingereza kuwa ndo kigezo cha ufahamu na ufanisi. Hakuna anayeuliza ufahamu wa hesabu/hisabati, fizikia, ujenzi wa majengo, uchumi, na mengine ambayo ni ya manufaa kwa taifa, na ni tatizo kubwa kuliko hata kiingereza. Shuleni Hesabu imeshindikana sisi tunaimba english english hata ninyi musioijua, nanyi munadai english!

Leo imekuja matamushi. Asiyejua kwamba kuna pidgin english ni nani? Au hata wewe huijui? tumia google. Mbona inavumiliwa? Nani asiyejua kwamba mchina akitamka kiingereza ni tofauti na mtu wa Brazil? mtu anasema wazimbabwe bhla!..bhla! Kiingereza kimewarudishia Zim dola?
 
Bora azurure kwenye nchi za Africa ili wamjue.

Kwa sababu wanamsifia sana hawajua kuwa hakuna kitu
Hasira yote hii ni kwa sababu ya ugumu wa kipato tu!
Kwa hiyo sifa ni kwa anayejua kiingereza? ASiyejua kiswahili je? Mwingereza akisikia tunahangaika kutafuta viongozi wanaojua kiingereza Afrika, anapata faraja sana maana anaweza bado kuwapa amri atakavyo. Brain ya kiafrika.
 
After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”
 
Siku chache zilizopita Rais alikutana na Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

View attachment 1114345
After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”
 
Lugha ya uandishi ni spelling as well as punctuation mwalimu neno lugha ni (common noun) aliandikwi kwa capital letter likiwa ndani ya sentensi.

Have a good day wewe andika uwezavyo na mimi ntaandika niwezavyo kwenye forum, usijafanye mwalimu wakati punctuation shida.

Aliandikwi = haliandikwi.
Kwani bro una shida gani? Mbona unaonekana uko vizuri tuu, kwa nini vitu vidogo hivi vinakupa shida?
 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
Waafrika wote wanaongea kiingireza kutokana na lafudhi ya makabila yao , tena wanaigeria wamezidi sasa cha kumshangaa anko magu ninini?
 
Sayansi sio story za Ngoni Invasion kwamba ulete mbwembwe. Mtu wa chemistry au Mathematics ye ni FACTS tu na mda mwingi anacheza na formula. Ukiangalia Paper za Chemistry au mathematics mule zimejaa kanuni na maneno ya kisayansi. Utaona Kwenye Physics, Mathematics au chemistry hakuna Essay, Huko ni short notes na hizo notes ni za kisayansi sio blah blah.Umesoma na watu wansopasua Physics au Mathematics lkn kiingereza ni chenga. Kweli si kweli?Umesoma na watu wanatereza sana English lkn Darasani ni chenga, kweli si kweli?Mwisho utanambia kujua kiingereza ni kigezo mojawapo cha kuwa na AKILI?
Kwa hiyo mkuu kwako sayansi inaishia kwenye formula na facts zisizo na maelezo? Ok kama ni hivo sawa na ndio maana hadi tooth picks tunaimport. Kwa uelewa wangu sayansi ni field ambayo inategemea language kama tool muhimu sana kudeliver innovations,research reports,fact findings etc. Angalia documentaries za scientists ndio utagundua kuwa km lugha(not necessarily english) haipandi kwa maneno machache tunakuita kilaza tu. Haya achana na english,na hiki kiswahili ambacho yeye ni native language kwake nacho hakijui unazungumziaje hilo pia?
 
Hizi ni hoja muhimu sana kwa taifa hasa tukitaka CCM itoke madarakani ...
No.. I mean makosa ya english ni crime
 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
Liblame lenyewe tu acha kusingizia watu wengine.......amuombe Lissu ampe seminar elekezi on how to stand and speak on big stages especially when English is inevitable
 
Sasa Tanzania kuna kingereza gani? Acheni kujifaliji bandugu, au mlimuambia aanze huko kwa kuwa hawajui kama yeye,? Na amini sasa Ben Saanane alikuwa anajua ukweli wa jamaa kuwa shule hamna kabisa.
True babuu
 
Haya yote ni mahangaiko ya matumaini kwamba labda rais akizozwa, baadaye ataruhusu waibe kidogo. NEVER! aliye na kazi halali, alipwe halali. Awamu ya kutembea ukiningíniza fungua za gari ili upate heshima hata kama kichwani hakuna kitu, ilikwisha.

Munalazimisha kiingereza kuwa ndo kigezo cha ufahamu na ufanisi. Hakuna anayeuliza ufahamu wa hesabu/hisabati, fizikia, ujenzi wa majengo, uchumi, na mengine ambayo ni ya manufaa kwa taifa, na ni tatizo kubwa kuliko hata kiingereza. Shuleni Hesabu imeshindikana sisi tunaimba english english hata ninyi musioijua, nanyi munadai english!

Leo imekuja matamushi. Asiyejua kwamba kuna pidgin english ni nani? Au hata wewe huijui? tumia google. Mbona inavumiliwa? Nani asiyejua kwamba mchina akitamka kiingereza ni tofauti na mtu wa Brazil? mtu anasema wazimbabwe bhla!..bhla! Kiingereza kimewarudishia Zim dola?

Mkuu samahani lakini naona kama unahamisha magoli, swala la watu kuiba sijajua hapa limefikaje, pili pronunciation ya mtu siyo ishu iliyoko mezani, jiwe/mimi/wewe / mchina hatuwezi kuwa na pronunciation sawa. Ok turudi kwenye ishu ya msingi ambayo ni mtu kuwa na PhD ambayo aliifanya kwa kiingereza lakini mtu huyo huyo hajui hiyo lugha
 
Kwa hiyo mkuu kwako sayansi inaishia kwenye formula na facts zisizo na maelezo? Ok kama ni hivo sawa na ndio maana hadi tooth picks tunaimport. Kwa uelewa wangu sayansi ni field ambayo inategemea language kama tool muhimu sana kudeliver innovations,research reports,fact findings etc. Angalia documentaries za scientists ndio utagundua kuwa km lugha(not necessarily english) haipandi kwa maneno machache tunakuita kilaza tu. Haya achana na english,na hiki kiswahili ambacho yeye ni native language kwake nacho hakijui unazungumziaje hilo pia?
Kuna English ya kusomea na kujibia mitihani na hii kwa elimu ya Tanzania ni kitu cha kawaida na ndio maana utakuta Mtu ana 1 ya 3 PCM au PCB lkn hawezi jieleza kwa kiingereza kilichonyooka. Advance tumesoma na watu walikua wanapiga sana ngeli na hadi kwenda nje ya nchi coz shule yetu kila mwaka watu walikua wanachaguliwa kwenda Germany. Ingekua kiingereza ndio akili kama unavyowaza basi Wale jamaa wangepiga 1 au pass kali lkn maajabu yake wengi ni ZERO au four mbovu. ELIMU ya Tanzania na habari za kujua kiingereza ni vitu viwili tofauti na nina mifano mingi ktk hili.
 
Sisemi kingereza ndio kipimo pekee cha akili,nnacho zungumza ni kwamba mtu wa level ya PhD ambaye amesoma kwa kutumia english kwa zaidi ya miaka 20 tena amefanya kazi kwa level ya waziri kwa zaidi ya miaka 20 ambapo kwenye utendaji wa waziri kwa nchi yetu ambayo kiingereza ni official language,then mtu huyo huyo kunyoosha sentesi 2 au 3 zenye proper grammar ni mtihani!! Dah halafu uniambie ni kawaida mkuu? Tusitake kujiaminisha kuwa ujinga kwetu ni kawaida.

Back
Top Bottom