Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Unaonekana kilaza kwa sababu Kiingereza ni miongoni mwa lugha zetu rasmi.

Kiswahili ni lugha yetu rasmi ya ndani. Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya ndani na kimataifa. Kimataifa tunawasiliana kwa Kiingereza (mataifa mengine wanawasiliana kwa Kifaransa, Kispanish, Kijerumani, Kirusi, Kichina, n.k.). Kwetu sisi kama hujui Kiingereza, katika ngazi ya kimataifa unaonekana wa ajabu maana ni sisi wenyewe tumeeleza kuwa miongoni mwa lugha zetu rasmi, Kiingereza kinapewa nafasi ya kwanza. Tunatumia English, kunafundishia masomo, na ndiyo tunayoitumia katika sheria zetu pia.
Kwa misingi hiyo wajerumani ni wajinga mbele yenu[emoji16][emoji16][emoji16].

Kweli kuwa mtanzania ni laana.
 
Watu ujinga ndio unawasumbua. Lafidhi kwenye lugha sio tatizo sio kuonesha mtu hajui. Hapa tz tunaon
g
ea

ea kiswahili kwa lafidhi tofauti kutegemea lugha ya mama. Wale watumvuliwa na nyumbu wa cdm wana njaa sana ya kumpinga magufuli ila wanakosa hoja ya maana wanabakia kumuandama na hoja za kijinga. Kwa wale waliyofika na kukaa uinfereza wanatambua kila sehemu kuna lafidhi tofauti ya kinfereza sasa sijui wanataka jpm aongee kama theresa may. Wenyewe kingereza wana lafidhi za kchaga kihaya etc ila hawataki magufuli awe na lafuidhi ya kisukuma.
Naomba tafsiri ya Kiswahili hicho ulichoandika Mkuu
 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
hovyooo!! KATARISTIK we!
 
Sisemi kingereza ndio kipimo pekee cha akili,nnacho zungumza ni kwamba mtu wa level ya PhD ambaye amesoma kwa kutumia english kwa zaidi ya miaka 20 tena amefanya kazi kwa level ya waziri kwa zaidi ya miaka 20 ambapo kwenye utendaji wa waziri kwa nchi yetu ambayo kiingereza ni official language,then mtu huyo huyo kunyoosha sentesi 2 au 3 zenye proper grammar ni mtihani!! Dah halafu uniambie ni kawaida mkuu? Tusitake kujiaminisha kuwa ujinga kwetu ni kawaida.
Kwahiyo hana AKILI?Hana akili katika eneo gani?Kumbuka Huyo jamaa ndio waziri mwenye uwezo mkubwa sana ktk Kukariri takwimu. Huoni kuna eneo yuko vizur?Ni miongoni mwa mawaziri waliowahi kuwa bora zaidi. Je utasema kiingereza ni miongoni mwa sifa za yeye kuwa hivyo?
 
Ukiangalia orodha ya mawaziri aliofanya nao kazi kipindi kimoja ni yupi smart unayeweza kusema alizidiwa na huyu? Labda kama ni bora kati ya wale wanaomzunguka lakini sio bora against standards. Si huyu wa kuuza nyumba za serikali,si huyu wa kivuko kibovu, si huyu wa kuvunja mikataba bila kufuata taratibu na kuingiza taifa kwenye hasara, si huyu wa samaki wale and the list goes on. Kukariri kwa maoni yangu huwa ni silaha ya mtu asiye elewa kirahisi hivyo humeza vitu kama vilivyo bila kuvichakata.
Kwahiyo hana AKILI?Hana akili katika eneo gani?Kumbuka Huyo jamaa ndio waziri mwenye uwezo mkubwa sana ktk Kukariri takwimu. Huoni kuna eneo yuko vizur?Ni miongoni mwa mawaziri waliowahi kuwa bora zaidi. Je utasema kiingereza ni miongoni mwa sifa za yeye kuwa hivyo?
 
Ukiangalia orodha ya mawaziri aliofanya nao kazi kipindi kimoja ni yupi smart unayeweza kusema alizidiwa na huyu? Labda kama ni bora kati ya wale wanaomzunguka lakini sio bora against standards. Si huyu wa kuuza nyumba za serikali,si huyu wa kivuko kibovu, si huyu wa kuvunja mikataba bila kufuata taratibu na kuingiza taifa kwenye hasara, si huyu wa samaki wale and the list goes on. Kukariri kwa maoni yangu huwa ni silaha ya mtu asiye elewa kirahisi hivyo humeza vitu kama vilivyo bila kuvichakata.
Nafikiri unataka ubishano wa kwenye vijiwe vya kahawa. Kila waziri alikua na mapungufu yake. Lkn elewa tu Before Magufuli hajawa Rais,Ukiuliza hata top 5 ya mawaziri bora kabisa jina la Magufuli usingelikosa. Hizi na kuuza nyumba mara samaki sijui nini zimeanza baada ya kuwa Rais na hii ni kutokana na nature ya upinzan uliopo,Huwezi shangaa ukisikia mtu anakwambia JK ni Rais bora haiajawahi tokea na anakwambia tumekumiss. Anayemponda Magufuli leo ni yuleyule aliyemsifia akiwa waziri na kumwita tingatinga.Ni sawa na anayemsifia Jk leo wakati huko nyuma alimponda sana.
 
Siku chache zilizopita Rais alikutana na Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

View attachment 1114345

Wapuuzi tu....... Eti CATARIST waafrica wengi hatujitambua tunadhani kuongea lugha ya kikoloni kwa ufasaha ndo maendendelo, au kuwa intellectual, au ujanja kumbe hamna. Hebu msikilizeni Julius Malema wa EFF SA au hata Rais wa South A. matamshi yao alafu linganisha na mamalikia wenye ndo utajua uwehu wetu uko wapi.

MAgu ana madhaifu yake mengi tu na anakosea mambo mengi huku kwetu TZ ila hilo la lugha mpeni ahueni jamani.
 
where are they with their good English; we surpass them in almost everything
Everything like what?! funguka mazee, usituuzie mbuzi kwenye gunia? takwimu hazidanganyi au unatumia catarist kutuzengua?!
 
Taiwan kuna maprofesa kabisa na hawajui vizuri kiingereza, chako afazali

Je waliupata huo u profesa kwa nji ya kiingereza au lugha nyingine? Kama ni kiingereza basi na wao hawana tofauti na jiwe. Huwezi kumshanga profesa kwa kichina kutokujua kiingereza lakini huyu wetu anatakiwa akijue unless kuna ulakini vyeti vyake
 
Back
Top Bottom