Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Acheni ushamba kujua kiingereza sio dili kwanza sikuhizi ni kama zilipendwa miaka ya tisin hiyo walikuwa wanaonekana wajanja kipindi hicho ata ukimuona mzungu njiani unaona kama kitu cha ajabu ni vyema tukosoe vitu vyenye tija vya maendeleo kwa taifa wadau
Muendelezo uleule wa kauli za kishujaa ambazo hazitusaidii,kiuhalisia wa hali ilivyo sasa na baadae tunapoelekea mwenye kujua lugha nyingi ndio mwenye fursa nyingi.rwanda tu hapo walikuwa wanatumia kifaransa sasahivi english ndio lugha rasmi unaambiwa,hatuwezi kujifanya wachina maana hata hao wachina wanajifunza lugha nyingine kwaajili ya biashara.sasa wewe baki na kiswahili halafu unataka kampuni za wawekezaji zije kuwekeza wakati huohuo ili upate ajira utahitajika ufanye interview ya kiingereza.
 
Yaani imeshindikana kabisa nani wa kumpiga msasa jiwe..?? Hivi hata Ras Simba ameshindwa??

Nakumbuka hata Jk alipoingia madarakani alikuwa na Poor English, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinaenda alikuwa ana improve . huyu wameshindwa kumpiga msasa angalau cha kuombea maji tu? Dar hapo kuna wale jamaa wa English Fountain kama wapo, ameshindwa kuwaita kama ameshindwa yeye kwenda angalau jioni?
 
Usitetee umbumbumbu. Miaka zaidi ya 40 ya kusoma lugha bado tu unashindwa kui master. Tena musitupe story za China na Russia. Wao hawatumii hii lugha oficially 100%. Sisi kwetu mpaka katiba imeandikwa kwa English
Nilifundishwa na phd holder chuo flani hivi hapa tz kiingereza chake hata mtoto wa high school anaeza ongea, lakini sikumshangaa 90% ya maongezi yetu tunatumia kiswahili kiingereza tunakiona kwenye makaratasi tu, tungekua na nidhamu ya kukiongea ingetusaidia, tukubali tukatae mtu ata awe na PHD sita, kiingereza sio lugha yetu, mazingira tuliyokulia yanachangia sana mtu kujua/kutojua kiingereza kwa anko magu sishangai
 
Kuhusu kiingereza nadhani wanajua cha kuandika zaidi lakini kuwa wanamatamshi bora no.....hapa nipo na raisi wetu... Namtetea kama linguist "Influence of mother tongue" is to blame!!!!
where are they with their good English; we surpass them in almost everything
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on

Kweli umeongea bila utafiti Uganda na Malawi ni moja kati nchi zinazozungumza kiingereza bora kabisa soma tena tafiti yako
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on

Kwani ziara ilianzia Zimbabwe? Nani alijua kuwa atakwenda kungumza Kiswahili Zimbabwe? Nadhani hapa wa kulaumiwa hakuna bali limepatikana somo kuwa tatizo lipo na ufumbuzi utafutwe.
 
Nilifundishwa na phd holder chuo flani hivi hapa tz kiingereza chake hata mtoto wa high school anaeza ongea, lakini sikumshangaa 90% ya maongezi yetu tunatumia kiswahili kiingereza tunakiona kwenye makaratasi tu, tungekua na nidhamu ya kukiongea ingetusaidia, tukubali tukatae mtu ata awe na PHD sita, kiingereza sio lugha yetu, mazingira tuliyokulia yanachangia sana mtu kujua/kutojua kiingereza kwa anko magu sishangai
Huo ni udhaifu lazima tukubali kwamba hilo ni tatizo na sisi kama nchi tulitafutie ufumbuzi.tusilazimishe tatizo kuonekana jambo la kawaida.ni hivi,tubadilishe elimu yetu ifundishwe kwa kiswahili tu kwa masomo yote na kiingereza kiwe somo tu na hapo ndipo tunaweza kujifananisha na nchi nyingine mnazozitaja kama CHINA,GERMANY,BRAZIL,KOREA,JAPAN.maana nchi hizo kila kitu ni kwa lugha yao.yani ukipata profesa mchina basi amesoma mpaka hiyo hatua kwa lugha yao na hakuna sehemu anabanwa ajue kiingereza tofauti na sisi tunatakiwa tukijue kiingereza tangu sekondari mpaka chuo kikuu kwasababu ndio lugha inayofundishwa huko na kama tunafika huko na bado lugha hiyo inakuwa mgogoro basi hilo ni tatizo tusione ni kawaida tunapaswa kuchukua hatua.kumbuka kiingereza ndio lugha tunayofanyia interview kwaajili ya kupata ajira hata serikalini.
 
Siku chache zilizopita Rais alikutana na Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

View attachment 1114345
nitarara nao mbere=nitalala nao mbele.
ati anapromot utamaduni wetu? kisa kavaa kama mwana wa mfalme wa hko ng'ambo. akilindwa kwa mitutu ya bunduki na mbwembwe nyingi za ulevi wa madaraka!
anawachukia mabeberu? wakati yeye mwenyewe ni BEBERU Kuu? amepora KOROSHO Za wakulima bila kulipa.
ngonjera tu
 
Tatizo akiwa anaongea na wananzengo, kila sentence ina maneno matatu ya English.
 
Mzungu anapoongea kiswahili kibovu hachekwi
 
Sasa Tanzania kuna kingereza gani? Acheni kujifaliji bandugu, au mlimuambia aanze huko kwa kuwa hawajui kama yeye,? Na amini sasa Ben Saanane alikuwa anajua ukweli wa jamaa kuwa shule hamna kabisa.
Why argue so much about a foreign language? Language is just a way of communicating with each other. We mostly use English for business communication and provided we understand each other where is the problem?
 
Hivi ni kwanini kwa hapa nyumbani usopojua kiingereza unaonekana kilaza??
Ndio lugha inayofundishwa toka msingi na kukomaa zaidi sekondari hadi chuo na ni lugha rasmi ya nchi kutokuijua ni fedheha kwa usomi wako usiponielewa muulize mkulu
 
Back
Top Bottom