Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Lugha ya uandishi ni spelling as well as punctuation mwalimu neno lugha ni (common noun) aliandikwi kwa capital letter likiwa ndani ya sentensi.

Have a good day wewe andika uwezavyo na mimi ntaandika niwezavyo kwenye forum, usijafanye mwalimu wakati punctuation shida.
Hapa JF hatujifanyi kujua. Twaweza kuwa ni wajinga kila mmoja kwa namna yake. Hata hivyo ukiona mwenzako anazidisha ujinga ni vema kumrekebisha. Kama anafanya makusudi basi hiyo huitwa "kufuru."
Kosa katika hilo neno "Lugha" ni kujiandilka kinyume cha kusudio langu, hivyo usipate homa.
aliandikwi = haliandikwi.
Kumbe wafia Jiwe wengi wana tabia yake!!!
 
Nilichoandika "wanatakiwa kuchukua precaution measures"

Precaution measures = implies conducting risk assessment first for the purpose of gaining knowledge
Precautionary measures = known/planned strategic approach in place to manage identified risks

Wanatakiwa kuchukua precaution measures = wafanye risk assessment kwanza kutokana na huko wanapoenda
Uwezi kusema precautionary measures in context kwa sababu hakuna huo mwongozo in place
Uwezi = huwezi
Naomba nikupe mfano wa athari ya namna unavyotumia maneno:
"una" si sawa na neno "huna"
 
Hapa JF hatujifanyi kujua. Twaweza kuwa ni wajinga kila mmoja kwa namna yake. Hata hivyo ukiona mwenzako anazidisha ujinga ni vema kumrekebisha. Kama anafanya makusudi basi hiyo huitwa "kufuru."
Kosa katika hilo neno "Lugha" ni kujiandilka kinyume cha kusudio langu, hivyo usipate homa.
aliandikwi = haliandikwi.
Kumbe wafia Jiwe wengi wana tabia yake!!!
Ni wewe ndie uliekuja humu na kujifanya mwalimu wa lugha na nilishakwambia mie sioni shida ya kukosekana kwa H kwenye maandishi

Hivi ni Huitwa au Uitwa

Si ajabu umekariri kila kwenye vowel kuna H

Haya ebu sema kwanza misingi ya kuweka 'H' as an emphasize kwenye kiswahili maana mie sioni shida wala tofauti.
 
Watu ujinga ndio unawasumbua. Lafidhi kwenye lugha sio tatizo sio kuonesha mtu hajui. Hapa tz tunaon
g
ea

ea kiswahili kwa lafidhi tofauti kutegemea lugha ya mama. Wale watumvuliwa na nyumbu wa cdm wana njaa sana ya kumpinga magufuli ila wanakosa hoja ya maana wanabakia kumuandama na hoja za kijinga. Kwa wale waliyofika na kukaa uinfereza wanatambua kila sehemu kuna lafidhi tofauti ya kinfereza sasa sijui wanataka jpm aongee kama theresa may. Wenyewe kingereza wana lafidhi za kchaga kihaya etc ila hawataki magufuli awe na lafuidhi ya kisukuma.

Acha kutetea ujinga, ishu siyo lafudhi, kutokuijua lugha aliyomfikisha level ya Phd ndiyo maajabu
 
Sayansi sio story za Ngoni Invasion kwamba ulete mbwembwe. Mtu wa chemistry au Mathematics ye ni FACTS tu na mda mwingi anacheza na formula. Ukiangalia Paper za Chemistry au mathematics mule zimejaa kanuni na maneno ya kisayansi. Utaona Kwenye Physics, Mathematics au chemistry hakuna Essay, Huko ni short notes na hizo notes ni za kisayansi sio blah blah.Umesoma na watu wansopasua Physics au Mathematics lkn kiingereza ni chenga. Kweli si kweli?Umesoma na watu wanatereza sana English lkn Darasani ni chenga, kweli si kweli?Mwisho utanambia kujua kiingereza ni kigezo mojawapo cha kuwa na AKILI?

So in a nut shell una maanisha jiwe naye ni wale wanasayansi ambao kiingereza ni chenga?
 
Siku chache zilizopita Rais alikutana Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

View attachment 1114345
Unajua maana ya kudhihaki?
Wao wame Copy kauli yake mwenyewe, tukiwaambia Rais wetu English inamtesa mnakuwa wakali sasa mmeona kilichomkuta kimataifa?
 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
Very poor excuse, siyo Wazimbabwe wote wana accent mbovu ,Kwa hiyo wakiwa na accent mbovu ni halali Rais wetu naye aboronge?
 
Wanaomdhihaki Mhe Rais ni nyie Watanzania wenzetu. Bado mna fikra za kikoloni kuwa kutojua English ni tatizo. Na yote haya mnaumia sababu ya utendaji bora wa Rais. Nani kasema Magufuli hajui English?. Suala la accent sio tatizo, kila mtu ana matatizo ya accent anapoongea lugha ya mwenzake. Hata kwa kiswahili chetu sio wote tunaotamka maneno kwa ufashaha sembuse English. Msimseme vibaya kiongozi wenu. Kuweni na heshima na adabu. Mapungufu mangapi mnayaona kwa wazazi wenu mbona hamji jukwaani mkayasema mnabaki kumsema kiongozi wenu, mnaona raha gani?. Acheni ushamba.

Mkuu ishu hapa ni kuwa watu wanamashaka na elimu yake au wanahisi ni feki, kama kafanya mpaka PhD na hajui kiingereza hapo ndiyo kuna tatizo, lakini kama angekuwa hajasoma none would be bothering kama anajua kiingereza au hakijui
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on
Awafukuze Kwa lipi? Huyo si ni PHD Holder? Leo hii PHD Holder lugha imekuwa shida? alipataje hiyo Elimu?
RIP Ben Saanane
 
Viingerezavyetu ni hoi! HAta hapa naona mijadala ya english ikikosa wachangiaji. Jakaya unayemsema, kwetu sisi tunaoifahamu lugha naye ni tatizo tu!

Je ni tatizo sawa na alilonalo Jiwe? Jk hajawahi kujigamba kuwa ni msomi, so yeye hata kama atakosea na kuongea broken watu hawana shida naye kwani hajigambi kuwa ni msomi, tatizo ni huyu PhD holder aka Jiwe
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on
mnawalaumu bure tu.yaani mnamaanisha kuwa yeye hajijui na ni empty head so wasaidizi wake wakifanya mistake yoyote yeye hana uwezo wa kudouble check
 
Bora azurure kwenye nchi za Africa ili wamjue.

Kwa sababu wanamsifia sana hawajua kuwa hakuna kitu
 
Back
Top Bottom