Lakini mkuu, kwa Tanzania Kiingereza ndio lugha ya kitaaluma! Utasemaje wewe ni mtaaluma na hujui lugha iliyokupa hiyo taaluma? Does that make any sense? HahahahaaWaafrika bado sana ndio mana wazungu wanatudharau
Kujua kiingereza sio kua na akili,ndio maana Mugabe aliwaburuza alivyotaka
Hamna maoni mnayotoa zaidi ya kejeli, dhihaka na matusi. Shida huko Ufipa kila kitu nyie ni wataalam na mnajua.Wewe huna hadhi yyt ya kumkejeli Kabudi.
Umefika walau levo ya chuo??Ha haaaa!
Google Zimbabwe has one best education systemEnglish nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.
Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.
I blame Prof Kabudi
Unajua maana ya ETHICAL RELATIVISM?Akikosea ataambiwa tu. Anasemwa rais wa Marekani ije kuwa Kabudi.
Viingerezavyetu ni hoi! HAta hapa naona mijadala ya english ikikosa wachangiaji. Jakaya unayemsema, kwetu sisi tunaoifahamu lugha naye ni tatizo tu!Jakaya alijitahidi kumfundisha kwenye ndege na kwa hotel
Lakin mshikaji mbishi sana anabshana hadi na teacher !
Jk akazira.....
ndo tunayaona haya ya caritarist
Catalyst
Tunahitaji tafsiri ya pamoja..........Ni haki yako lakini sio ustaarabu kwa mila na desturi
Unajua maana ya ETHICAL RELATIVISM?
Best education is not relative to english accent. English is diverse! American English, Scottish english, Kenyan English, Ugandan, and we have pidgin englishGoogle Zimbabwe has one best education system
Hilo swali ungejibu ungeona mfano wako wa USA ni wa kipumbavu. Rudi shuleYaani unataka kutumia kisingizio cha mambo ya mila na desturi ili tuyafumbie macho mambo ya hovyo.
Vitu vyote nilivyoandika sijamsingizia wala kumtukana, vimetokea kweli. Sasa wewe ulitaka watu wanyamaze?
Hilo swali ungejibu ungeona mfano wako wa USA ni wa kipumbavu. Rudi shule
Jakaya alijitahidi kumfundisha kwenye ndege na kwa hotel
Lakin mshikaji mbishi sana anabshana hadi na teacher !
Jk akazira.....
ndo tunayaona haya ya caritarist
Catalyst
Kanjanja wa makanjanja.asingegombania uraisi asingeaibika hivi awamu yake ya pili amuachie Benard Camilius Membe ili hii nchi irudi sehemu yake miongoni mwa Mataifa.Raisi kanjanja
Ni wazi JPM anawatesa sana...
SAHIHISHA HAYA KWANZA:English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.
Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.
I blame Prof Kabudi
Utakuwa ni mmoja wa watu wasiojua maana ya JF kusema "hapa ni mahali pa Great Thinkers." Vinginevyo FB inakufaa, maana huko wanapuyanga vyovyote iwavyo!!!!Kwan kuna maksi hapa jf mpaka nizingatie yote hayo? vilevile unapokuwa kuwa ugenini lazima uvae vizuri
Nilichoandika "wanatakiwa kuchukua precaution measures"SAHIHISHA HAYA KWANZA:
aijawahi = haijawahi.
ata = hata.
precaution measures = precautionary measures.
adhiakiwi = hadhihakiwi.