Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Siku chache zilizopita rais alikutana rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".
Catarist ra Kihutu
 
View attachment 1114345
Watu ujinga ndio unawasumbua. Lafidhi kwenye lugha sio tatizo sio kuonesha mtu hajui. Hapa tz tunaon
g
ea

ea kiswahili kwa lafidhi tofauti kutegemea lugha ya mama. Wale watumvuliwa na nyumbu wa cdm wana njaa sana ya kumpinga magufuli ila wanakosa hoja ya maana wanabakia kumuandama na hoja za kijinga. Kwa wale waliyofika na kukaa uinfereza wanatambua kila sehemu kuna lafidhi tofauti ya kinfereza sasa sijui wanataka jpm aongee kama theresa may. Wenyewe kingereza wana lafidhi za kchaga kihaya etc ila hawataki magufuli awe na lafuidhi ya kisukuma.
 
Ni kweli wengi wetu tuna poor English lakini nashangaa mwalimu aliyemfundisha kuanzia shule ya Msingi mpaka chuo huko ameshindwa kumbadilisha hiyo mother tongue ya kushinda kutamka l, basi ana kichwa kigumu.
 
Unaonekana kilaza kwa sababu Kiingereza ni miongoni mwa lugha zetu rasmi.

Kiswahili ni lugha yetu rasmi ya ndani. Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya ndani na kimataifa. Kimataifa tunawasiliana kwa Kiingereza (mataifa mengine wanawasiliana kwa Kifaransa, Kispanish, Kijerumani, Kirusi, Kichina, n.k.). Kwetu sisi kama hujui Kiingereza, katika ngazi ya kimataifa unaonekana wa ajabu maana ni sisi wenyewe tumeeleza kuwa miongoni mwa lugha zetu rasmi, Kiingereza kinapewa nafasi ya kwanza. Tunatumia English, kunafundishia masomo, na ndiyo tunayoitumia katika sheria zetu pia.
Kutojua kiingereza ni kutokua na AKILI?Kwa kiingereza cha akina Msigwa au Lema kule Kenya unataka kusema nao ni VILAZA?Ukiondoa Wale waliosoma nje au kuwa na exposure Nje ya nchi ni kweli PhD holder na wasomi wetu wanajua kiingereza FASAHA?Ni ofisi ngapi za serikali Unaweza pata huduma stahiki kwa kaongea kiingereza tu?mfumo wa elimu hasa LANGUAGE OF INSTRUCTION inamuandaa Mwanafunzi kujua lugha ya kiingereza au kuelewa Concepts mbalimbali zilizo ktk lugha ya kiingereza?Majibu yako yakiwa na reference hasa kutoka shule zetu za secondary na vyuo vikuu nafikiri kuna sehemu tunaweza enda sawa.
 
Utetezi huu ni hafifu sana,yaani scientist asiejua lugha duuh hiyo sayansi anaielewaje sasa?
Sayansi sio story za Ngoni Invasion kwamba ulete mbwembwe. Mtu wa chemistry au Mathematics ye ni FACTS tu na mda mwingi anacheza na formula. Ukiangalia Paper za Chemistry au mathematics mule zimejaa kanuni na maneno ya kisayansi. Utaona Kwenye Physics, Mathematics au chemistry hakuna Essay, Huko ni short notes na hizo notes ni za kisayansi sio blah blah.Umesoma na watu wansopasua Physics au Mathematics lkn kiingereza ni chenga. Kweli si kweli?Umesoma na watu wanatereza sana English lkn Darasani ni chenga, kweli si kweli?Mwisho utanambia kujua kiingereza ni kigezo mojawapo cha kuwa na AKILI?
 
Sasa Tanzania kuna kingereza gani? Acheni kujifaliji bandugu, au mlimuambia aanze huko kwa kuwa hajui kama yeye,? Na amini sasa Ben Saanane alikuwa anajua ukweli wa jamaa kuwa shule hamna kabisa.
Unataka kuniambia Tz nzima hakuna anayenyoosha kimombo kweli?
Let's be serious!
Tunaishi na hao wazimbabwe wakenya etc kizungu chao ni sawa wametuzidi kiasi chao lakini sio wa kutudharau Tz yote
I hope you know wapo Doctors Professors WaTz wengiii wanafanya kazi 1st world countries so tusijidharau kiasi hicho.
Hatujasema Mkulu anakijua kimombo wote tunafahamu iko shida lakini huwezi kuniambia Foreign Affairs hakuna anayejua kimombo. Kama ndivyo basi nchi imeozaaaaaa
 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
Wazimbabwe wakamatwe na wasiyojulikana, taarifa zimfikie Musiba awashughulikie
 
Kutojua kiingereza ni kutokua na AKILI?Kwa kiingereza cha akina Msigwa au Lema kule Kenya unataka kusema nao ni VILAZA?Ukiondoa Wale waliosoma nje au kuwa na exposure Nje ya nchi ni kweli PhD holder na wasomi wetu wanajua kiingereza FASAHA?Ni ofisi ngapi za serikali Unaweza pata huduma stahiki kwa kaongea kiingereza tu?mfumo wa elimu hasa LANGUAGE OF INSTRUCTION inamuandaa Mwanafunzi kujua lugha ya kiingereza au kuelewa Concepts mbalimbali zilizo ktk lugha ya kiingereza?Majibu yako yakiwa na reference hasa kutoka shule zetu za secondary na vyuo vikuu nafikiri kuna sehemu tunaweza enda sawa.

Na dissertation inaandikwa kwa mathematical notations? Wakati nikiwa chuo kikuu tukipewa project kwenye somo la statistics tulitegemewa kuchambua mambo kwa kina. Kwahiyo, unatakiwa pia kujua kuandika na kujenga hoja.
 
Wazimbabwe wanajiona
Ni waingereza wakati
Lafudhi yao ya kishona na kindebele
Inajulikana. Ingekua english ni utajiri wasingekua maskini wakutupwa. Wakwende zao
 
Nakumbuka hata Jk alipoingia madarakani alikuwa na Poor English, lakini kadiri siku zilivyokuwa zinaenda alikuwa ana improve . huyu wameshindwa kumpiga msasa angalau cha kuombea maji tu? Dar hapo kuna wale jamaa wa English Fountain kama wapo, ameshindwa kuwaita kama ameshindwa yeye kwenda angalau jioni?
Sir would you re write this comment in english?
 
Siku chache zilizopita rais alikutana rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

View attachment 1114345
mambo ya kukariri maswali na majibu ili upate A dalasani ndio yanayo wapoza watanzania wengi. mtu badala usome na kuelewa wewe unakazana kukariri vitabu matokeo yake ukisha maliza shule na mavyeti ya PHD kichwani hamna kitu. ukipewa nafasi ya kuongea na watu unajikuta unachomeka vitu ulivyo kariri shuleni,kama professor kabundi anaambiwa aeleze watanzania kwani hamshauri raisi vizuri. yeye anaanza kufundisha history oh Tanzania tuliwasaidia wasouth Africa,wazimbabwe, wanamibia. oh Amerika walivamia Japan wakauwa watu oh walifanya biashara ya utumwa. baba yote hayo ya nini?
 
Yaani PhD holder ambaye kwa mitaala yetu amesoma kiingereza(kuandika,kusoma na kuongea) kwa zaidi ya miaka 20 na bado ni mwalimu wa kemia na hisabati kitaaluma na amefundisha masomo hayo sekondari halafu haijui hiyo lugha na ni rais wa nchi ambaye alifukuza watu kwa kufoji vyeti kisha yeye tusimuhoji? Uko serious mkuu?
show us example.............use english
 
mambo ya kukariri maswali na majibu ili upate A dalasani ndio yanayo wapoza watanzania wengi. mtu badala usome na kuelewa wewe unakazana kukariri vitabu matokeo yake ukisha maliza shule na mavyeti ya PHD kichwani hamna kitu. ukipewa nafasi ya kuongea na watu unajikuta unachomeka vitu ulivyo kariri shuleni,kama professor kabundi anaambiwa aeleze watanzania kwani hamshauri raisi vizuri. yeye anaanza kufundisha history oh Tanzania tuliwasaidia wasouth Africa,wazimbabwe, wanamibia. oh Amerika walivamia Japan wakauwa watu oh walifanya biashara ya utumwa. baba yote hayo ya nini?

Kabudi naye ni profesa uchwara. Yeye hupenda kujisifu kuwa kila mtu alikuwa mwanafunzi wake. Hafafu hupenda kutoa majibu marefu yasiyo na maana badala ya kujikita kwenye mada.
 
Siku chache zilizopita rais alikutana rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa. Moja kati ya vitu alivyovitaja ni kuwa yeye ni catalyst katika kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Zimbabwe.

Tatizo likaja kwenye lafidhi ya matamshi ya Kiingereza. Jinsi alivyolitamka neno catalyst lilisikika kama cataryst sababu iliyopelekea watu kutoa maneno ya mzaha kwenye YouTube. Mtu mmoja alichangia kwa kuandika, "We r waiting to see the effects of the catarist".

View attachment 1114345
Till when we will be praising european languages, Magufuli was right he was doing his best to promote the best popular African language which in the future can be used by the whole continent. English is for the English people. Most of the European countries they dont use English as oficial language, I still remember one of the European MP in European paliament in Brusell said UK is going out of EU so we will no more need to use English in European parliament and he was from Frans, the English MP ware mad.
 
Back
Top Bottom