Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Sasa Tanzania kuna kingereza gani? Acheni kujifaliji bandugu, au mlimuambia aanze huko kwa kuwa hawajui kama yeye,? Na amini sasa Ben Saanane alikuwa anajua ukweli wa jamaa kuwa shule hamna kabisa.Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote
Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on