Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

Sio haziendani sema anaongea msichotaka kukisikia. Yani Bavicha ukiongea tu wasichokipenda basi lzm waseme huna AKILI TIMAMU mara hujitambui nk.Kwa research ndogo tu according to Bavicha ni kwamba viongoz wote wa serikali hawana AKILI ila viongoz wote wa CHADEMA wanaakili. Mtu kama wewe unakuta hata degree huna lkn unataka kumbeza kabudi Hahahahahah maajabu hayaishi Tanzania. Yaani wewe unajua mambo mengi kuliko kabudi Hahahahahah.

Kumkosoa mtu siyo lazima umzidi au akuzidi elimu. Kabudi huwa anaongea upuuzi. Kwa mfano, tunaambiwa eti yeye ni mbobezi wa sheria lakini kwenye hotuba moja alisema watu wanyamaze, akimaanisha wasiikosoe serikali. Kama ni mtaalam kweli wa sheria basi angejua kuwa kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake bila kuvunja sheria.

Pili, ni Kabudi huyu huyu wakati akiwa waziri wa sheria na katiba Tanzania ilijitoa kwenye mahakama za kibiashara za kimataifa. Hakufikiri kuwa baadhi ya makampuni ya kigeni yanaweza kusita kuja kuwekeza? Wanaweza kupata hofu kwamba mahakama zetu zitaipendelea serikali kwenye migogoro baina yao na serikali.
 
Kumkosoa mtu siyo lazima umzidi au akuzidi elimu. Kabudi huwa anaongea upuuzi. Kwa mfano tunaambiwa eti yeye ni mbobezi wa sheria lakini kwenye hotuba moja alisema watu wanyamaze, akimaanisha wasiikosoe serikali. Kama ni Matalan kweli wa sheria basi angejua kuwa kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake bila kuvunja sheria.

Pili, ni Kabudi huyu huyu wakati akiwa waziri wa sheria na katiba Tanzania ilijitoa kwenye mahakama za kibiashara za kimataifa. Hakufikiri kuwa baadhi ya makampuni ya kigeni yanaweza kusita kuja kuwekeza? Wanaweza kupara hofu kwamba mahakama zetu zitaipendelea serikali kwenye migogoro baina yao na serikali.
Hamna maoni mnayotoa zaidi ya kejeli, dhihaka na matusi. Shida huko Ufipa kila kitu nyie ni wataalam na mnajua.Wewe huna hadhi yyt ya kumkejeli Kabudi.
 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
Na wewe waamini kuwa mkubwa hakosei?,.....................
 
Watu ujinga ndio unawasumbua. Lafidhi kwenye lugha sio tatizo sio kuonesha mtu hajui. Hapa tz tunaon
g
ea

ea kiswahili kwa lafidhi tofauti kutegemea lugha ya mama. Wale watumvuliwa na nyumbu wa cdm wana njaa sana ya kumpinga magufuli ila wanakosa hoja ya maana wanabakia kumuandama na hoja za kijinga. Kwa wale waliyofika na kukaa uinfereza wanatambua kila sehemu kuna lafidhi tofauti ya kinfereza sasa sijui wanataka jpm aongee kama theresa may. Wenyewe kingereza wana lafidhi za kchaga kihaya etc ila hawataki magufuli awe na lafuidhi ya kisukuma.

Haya fananisha na Zimbabwe.

 
English nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.

Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.

I blame Prof Kabudi
mmmmmh
 
Ni kweli Zimbabwe Zambia Malawi Uganda Kenya kizungu chao kibovu na kibaya zaidi wazungu huwa wanapata shida sana kuwaelewa coz accent ni nzito mno
Kwa Mkulu Uongozi mzima wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje plus Tanzania Embassy Zimbabwe ndio wa kulaumiwa
Mkulu kuzungumza Kiswahili ni haki yake lakini walipashwa kuandaa mkalimali kusudi ujumbe uwafikie wenyeji badala yake wakamgeuza amekuwa kituko
Alipashwa afukuze kazi wote

Ni hivi Mkulu unaowaamini ndio wanaokuharibia
Wanakupaka mafuta na mgongo wa chupa
Unakula nao unacheka nao unawalinda kwa nguvu zote lakini ndio wanaofaidi keki ya Taifa kuliko vipindi vyote nyuma.
Wanawatesa sana wananchi
Bashite
Palamagamba
........list goes on and on and on
Pronounciation ya mtu Ndo ifukuze watu, hao wanaolaumiwa ndio wanaratibu koo na ulimi wa aliekosea?, Mambo mengine HAYAHITAJI MIHEMKO.
 
Sijasema hakosei, nimesema hadhiakiwi sio tamaduni zetu.
Hahaha huu utamaduni wetu hukoje?! Yeye mbona udhihaki na kuwadhalilisha wapinzani na wakosoaji wake majukwaani kila siku, huwa anasahau utamaduni huo au huwa anafanya makusudi?! Kutokujua lugha siyo ujinga, mbona Shilole alikubali udhaifu huo na akakubali kufundishwa British Council?! Hata yeye akikubali hajui British Council wangeweza kumsaidia.
 
Hahaha huu utamaduni wetu hukoje?! Yeye mbona udhihaki na kuwadhalilisha wapinzani na wakosoaji wake majukwaani kila siku, huwa anasahau utamadunj huo au huwa anafanya makusudi?! Kutokujua lugha siyo ujinga, mbona Shilole alikubali udhaifu huo na akakubali kufundishwa British Council?! Hata yeye akikubali hajui British Council wangeweza kumsaidia.
Utamaduni wetu ni kwamba atuwaletei dhiaki watu waliotuzidi umri au wenye nafasi kwenye jamii. Uwezi kuzuia watu wote kufanya watakavyo lakini una uwezo ku-limit mazingira ambayo watu wanaweza yadhihaki kutokana na matendo ya viongozi.

Nakubali kutokujua lugha sio ujinga kukubali au kukataa ni swala la confidence; Kagame kasoma na kuishi Uganda ambapo wananchi wengi English wanaimudu lakini yake ni mbovu hatari na aoni shida kuongea popote na watu tunaona kawaida tu. Tatizo la Magu ni confidence as for Shilole kwakweli sifuatilii kingine kwenye maisha yake zaidi ya ninapo kutana na nyimbo zake.
 
KILAZA na English wapi na wapi jamani. Maccm yenyewe yanamng’ong’a MTUPOLI ni LIMBUKENI kujita kujua tu, mwacheni ADHARIRIKE.
 
Utamaduni wetu ni kwamba atuwaletei dhiaki watu waliotuzidi umri au wenye nafasi kwenye jamii. Uwezi kuzuia watu wote kufanya watakavyo lakini una uwezo ku-limit mazingira ambayo watu wanaweza yadhihaki kutokana na matendo ya viongozi.

Nakubali kutokujua lugha sio ujinga kukubali au kukataa ni swala la confidence; Kagame kasoma na kuishi Uganda ambapo wananchi wengi English wanaimudu lakini yake ni mbovu hatari na aoni shida kuongea popote na watu tunaona kawaida tu. Tatizo la Magu ni confidence as for Shilole kwakweli sifuatilii kingine kwenye maisha yake zaidi ya ninapo kutana na nyimbo zake.
Yeye kila mara udhihaki na kuwadhalilisha Watanzania wenye maoni tofauti na yake tena hadharani kwenye majukwaa, sijui kwanini huwa hakumbushwi utamaduni wetu huo?! Yeye angekuwa mstaarabu na kuheshimu watanzania wenzake sidhani kama hata haya yangetokea kwake.
Ajifunze tu ili asidhalilike baadaye.
 
Back
Top Bottom