Lugha ni makubalianoEnglish nzuri waitoe wapi wazimbambwe watu wenyewe 'the' wanatamka 'zeh' wana accent mbovu aijawahi tokea duniani ata ya Magu nzuri.
Mwisho siku liwe somo kwa wahusika wanatakiwa kuchukua precaution measures zote kuakikisha raisi adhiakiwi kwa uzembe wa mipango yao.
I blame Prof Kabudi
Kwan kuna maksi hapa jf mpaka nizingatie yote hayo? vilevile unapokuwa kuwa ugenini lazima uvae vizurikuakikisha = kuhakikisha
adhiakiwi = hadhihakiwi.
Iwapo Kiswahili chenyewe hamuwezi kuandika, hicho Kiingereza je!!!?
JF anzisheni tuition ya Kiswahili.
Wanaomdhihaki Mhe Rais ni nyie Watanzania wenzetu. Bado mna fikra za kikoloni kuwa kutojua English ni tatizo. Na yote haya mnaumia sababu ya utendaji bora wa Rais. Nani kasema Magufuli hajui English?. Suala la accent sio tatizo, kila mtu ana matatizo ya accent anapoongea lugha ya mwenzake. Hata kwa kiswahili chetu sio wote tunaotamka maneno kwa ufashaha sembuse English. Msimseme vibaya kiongozi wenu. Kuweni na heshima na adabu. Mapungufu mangapi mnayaona kwa wazazi wenu mbona hamji jukwaani mkayasema mnabaki kumsema kiongozi wenu, mnaona raha gani?. Acheni ushamba.Raisi kanjanja
Mkuu maswali yangu hayajibiki?Nikuongeze lingine, Hizo dissertation za Sayansi ni sawa na Art?Ungejibu hayo maswali juu nafikiri ungeona Huna hoja za mcng.Na dissertation inaandikwa kwa mathematical notations? Wakati nikiwa chuo kikuu tukipewa project kwenye somo la statistics tulitegemewa kuchambua mambo kwa kina. Kwahiyo, unatakiwa pia kujua kuandika na kujenga hoja.
Kabudi Ni Best Student ambaye hajawahi tokea UDSM ktk field yake. Ufaulu wake ni wa juu sana. Sasa wewe unayemdharau kabudi sijui Una GPA ya ngapi.Kabudi naye ni profesa uchwara. Yeye hupenda kujisifu kuwa kila mtu alikuwa mwanafunzi wake. Hafafu hupenda kutoa majibu marefu yasiyo na maana badala ya kujikita kwenye mada.
Kinachonishangaza wasukuma hatuna herufi R kwenye matamshi yetu yeye kaitoa wapi ?Ha ha haaa kumbe hata wao wamenoti hicho kiswanglish-sukuma chake kibovu
Kabudi Ni Best Student ambaye hajawahi tokea UDSM ktk field yake. Ufaulu wake ni wa juu sana. Sasa wewe unayemdharau kabudi sijui Una GPA ya ngapi.
Mkuu maswali yangu hayajibiki?Nikuongeze lingine, Hizo dissertation za Sayansi ni sawa na Art?Ungejibu hayo maswali juu nafikiri ungeona Huna hoja za mcng.
Onesha ulipojibu.Maswali yako yameshajibiwa. Inaonekana upeo wako ni kama maprofesa uchwara.
Kwani ujumbe ulifika au haukufika? Tuwambie ukweli bila aibu hawa Wazimbabwe, sisi wenyewe wtz tumeshamzoea hata kwenye kiswahili anachapia kitu cha muhimu ujumbe unafika.Mkuu aongee kiswahili tu
Unataka kuniambia Tz nzima hakuna anayenyoosha kimombo kweli?
Let's be serious!
Tunaishi na hao wazimbabwe wakenya etc kizungu chao ni sawa wametuzidi kiasi chao lakini sio wa kutudharau Tz yote
I hope you know wapo Doctors Professors WaTz wengiii wanafanya kazi 1st world countries so tusijidharau kiasi hicho.
Hatujasema Mkulu anakijua kimombo wote tunafahamu iko shida lakini huwezi kuniambia Foreign Affairs hakuna anayejua kimombo. Kama ndivyo basi nchi imeozaaaaaa
Sio haziendani sema anaongea msichotaka kukisikia. Yani Bavicha ukiongea tu wasichokipenda basi lzm waseme huna AKILI TIMAMU mara hujitambui nk.Kwa research ndogo tu according to Bavicha ni kwamba viongoz wote wa serikali hawana AKILI ila viongoz wote wa CHADEMA wanaakili. Mtu kama wewe unakuta hata degree huna lkn unataka kumbeza kabudi Hahahahahah maajabu hayaishi Tanzania. Yaani wewe unajua mambo mengi kuliko kabudi Hahahahahah.Basi inabidi tuhakiki vyeti vyake. Tanaambiwa ni msomi lakini kauli zake haziendani na sifa anayopewa. Inawezekana akawa ni Bashite mwingine.
Wazimbabwe wanajiona
Ni waingereza wakati
Lafudhi yao ya kishona na kindebele
Inajulikana. Ingekua english ni utajiri wasingekua maskini wakutupwa. Wakwende zao
Huyo jamaa anajiongopea, ulisikia wapi mtu anasoma political science asijue kingereza?Sir would you re write this comment in english?