Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
Wataalamu wa Subaru.

IMG_0670.jpeg

Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500!
IMG_0671.jpeg

Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1.
IMG_0672.jpeg
Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
 
Back
Top Bottom