Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hao huwa nawaambia waachane na gari za Singapore hawasikii! Zile gari wanatoa vitu wanabadili vibovu ndio wanauza.
Wauza Magari ya Singapore ni waswahili wenye rangi nyeupe. Mtego wao ni kuweka leather seat, Kuna mtu alichukua Toyota Hiace Quantum yenye injini ya 1TR Kutoka Singapore ilikuwa inachemsha imekuja na tatizo katika cylinder head.
 
Back
Top Bottom