Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,756
ningesema kilicho tokea ila acha nikaushe 😂😂😂Jamaa wabambikaji sana. Body na interior inakuwa nzuri sana ila engine na gearbox wanakubambika ikifika unaweza usifike hata nyumbani likaanza kuzingua!