Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Kuna nyingine karibu na kabweVijiwe vya kula bata havijaongezeka?
Mara ya mwisho kwenda mbeya kijiwe kilikuwa carnival.
Kuna nyingine karibu na kabweVijiwe vya kula bata havijaongezeka?
Mara ya mwisho kwenda mbeya kijiwe kilikuwa carnival.
Seat 1 na uendeshaji wa hao jamaa inataka moyo!Saint Anne nakaribia Mbeya, Sina mwenyeji wa kunitembeza na Kunywa nae "juice" pale carnival na pub city.
Kama vipi nipm # ya classmate wako.View attachment 2035826
Mbeya CarnivalVijiwe vya kula bata havijaongezeka?
Mara ya mwisho kwenda mbeya kijiwe kilikuwa carnival.
Mimi mgumu kudaka holela holela. Fanya wepesi mdogo wangu.Safari njema mkuu.
Karibu jiji la neema,
Kamata mwenyeji yeyote,atakutembeza.
Ni Shabiby mkuu, wapo makiniSeat 1 na uendeshaji wa hao jamaa inataka moyo!
Hahaa muwe mnaenda na huko japo mara moja moja tu siyo mbayaUmetisha




Mpo vizuri.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Mpeleke kwenye lile gorofa lenye lift

Hii Mbeya pazuri juzi kipindi naenda mbeya,niliona usiku kuna mafuriko ya ndinga kali kama kijiji pale nje.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Katika zote hizo..Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Mje tena aseeMpo vizuri.
Mmejitahidi.

Yeah huwa panajaa juu pako road sanaHii Mbeya pazuri juzi kipindi naenda mbeya,niliona usiku kuna mafuriko ya ndinga kali kama kijiji pale nje.


Hizo nilizotaja siyo kwamba ndiyo chimbo zote mbeya nzima bali ndizo ninazopendelea kwenda so zote ni bestKatika zote hizo..
Ipi unapendelea kuwepo/kwenda?


Haya hizo ndizo baadhi ya picha nilizopataAngetuwekea picha unaweza kwenda ukawa disappointed bure!



Asantee. Hope wiki zangu kadhaa zitaenda poa kwenye maeneo hayo.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi