Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,757
Muhimu kuonekana na mjini ..Nna wiki 5 sijaonekana Dar. Natulia kama wiki hivi mjini nifanye na service. Dom ntaingia chap wiki ijayo na kurudi.
Muhimu kuonekana na mjini ..Nna wiki 5 sijaonekana Dar. Natulia kama wiki hivi mjini nifanye na service. Dom ntaingia chap wiki ijayo na kurudi.
Muhimu sana. Dar itabaki kuwa DarMuhimu kuonekana na mjini ..
Wana raha wanaoendesha.Mnaraha sana mnao endesha magari mazimaa. Mwenzenu chombo speed o meter haisomi. Goma la diesel mpaka li changanye lifike 100 umepambana haswa. Mtambo 5l tukutane Road kesho kutwa uelekeo dom.
Watuambie kama tunaruhusiwa tutiririke.
Wana raha wanaoendesha.
Mimi sina gari boss,hata baiskeli Sina.
We usiniambie
Naomba code ya hapa 😊😊..Hii nchi nzuri sana..,.
View attachment 1826579
Napataga shida sana kumuamini mtu.. huwa mda wote nakuwa na hofu katika uendeshaji wa mtu mwingineDereva kumuamini dereva kazi.....
Pazuri sana, acha tupate safari ya hukoLushoto....Swiss cottage. Jirani na kwa late Pres. Mkapa.
Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stressAmazing place.
Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress
Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress
Hii Mwanzo wa mwezi ujao, nitaunda hata ki emergency cha uongo na kweli, ili boss anielewe niende nikatoe maluwe luwe ha barabarani kidogo 😀😀Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.