Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Thanks boss wanguHappy Birthday Boss

Thanks boss wanguHappy Birthday Boss

Road trip ni road trip tu...iwe kwa bus,au private car
Kwenda na kurudi hizo 25 au za kwenda pekee,......utatumia baiskeli za swala au hizi za kisasa😀😀😀This thread will live on.
Akina sie wa trips za baiskeli, pia tutashea hapa hapa kibishi. Kesho nina 25 KM za kukanyaga pedeli. 😎
-Kaveli-
Usitunyime mrejesho wa pics, tuone hiyo mashine ambayo injini yake ni kiuno..This thread will live on.
Akina sie wa trips za baiskeli, pia tutashea hapa hapa kibishi. Kesho nina 25 KM za kukanyaga pedeli.
-Kaveli-





Road trip ni road trip tu...iwe kwa bus,au private car
Na Sisi watembea kwa miguu road tunaruhusiwa kushiriki Kwenye uzi?Hata kwa bodaboda ama baiskeli, ni trip tu.
-Kaveli-
Mnaraha sana mnao endesha magari mazimaa. Mwenzenu chombo speed o meter haisomi. Goma la diesel mpaka li changanye lifike 100 umepambana haswa. Mtambo 5l tukutane Road kesho kutwa uelekeo dom.Na Sisi watembea kwa miguu road tunaruhusiwa kushiriki Kwenye uzi?
Na Sisi watembea kwa miguu road tunaruhusiwa kushiriki Kwenye uzi?


Mzee una kiamsha wapi ? Nipo Dar any time naenda mala moja dodoma
Nna wiki 5 sijaonekana Dar. Natulia kama wiki hivi mjini nifanye na service. Dom ntaingia chap wiki ijayo na kurudi.Mzee una kiamsha wapi ? Nipo Dar any time naenda mala moja dodoma
Muhimu kuonekana na mjini ..Nna wiki 5 sijaonekana Dar. Natulia kama wiki hivi mjini nifanye na service. Dom ntaingia chap wiki ijayo na kurudi.
Muhimu sana. Dar itabaki kuwa DarMuhimu kuonekana na mjini ..

Wana raha wanaoendesha.Mnaraha sana mnao endesha magari mazimaa. Mwenzenu chombo speed o meter haisomi. Goma la diesel mpaka li changanye lifike 100 umepambana haswa. Mtambo 5l tukutane Road kesho kutwa uelekeo dom.
Wana raha wanaoendesha.
Mimi sina gari boss,hata baiskeli Sina.
We usiniambie


.