Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sisy, mie nitakununulia Baiskeli, upate kianzio kwa trips za hapa na pale.

Mkoko atakupa Holy Man ... for long trips.

Ufahamu wa magari & Driving skills, nakukabidhi kwa RRONDO.

Some tips on basic mechanics, mtaalamu Extrovert atakupa darasa.

-Kaveli-
We usiniambie
Kwahiyo mimi kazi yangu ni kuweka wese tu,au na wese anajitolea mtu kuniwekea.

Ngoja wahusika waje kila mmoja asome majukumu yake
 
Hii nchi nzuri sana..,.
IMG_20210404_180451_1.jpg
 
Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress

Haya ndio maeneo mazuri ya kwenda kuondoa stress
Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.
 
Hii Mwanzo wa mwezi ujao, nitaunda hata ki emergency cha uongo na kweli, ili boss anielewe niende nikatoe maluwe luwe ha barabarani kidogo 😀😀
 
Back
Top Bottom